Titans
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 1,459
- 3,375
Kipindi hicho nilikuwa nasikia news tu kwamba majeshi ya ECOMOG yakiongozwa na Nigeria yameenda tuliza amani,na nasikia walifanya udhalilishaji mkubwa sana na mauaji, je kuna uhusiano kati ya vita vya siera leon na vile vya liberia?kwa kumbukumbu zangu kuna jamaa alikiwa anaitwa Foday sanko hivi nilimsikia sana naye kwa radio ya band mbili.Naye alikuwa pandikizi la marekani wakamtumia kisha makamdump kupitia Obasanjo sasa hivi yuko the Hague