Liberia kumetulia kwa muda mrefu lkn ukumbuke ni dhamana ya UN
Hiyo dhamana ya UN imeshindikana vipi kwa Wasomali na ikawezekena kwa Liberia pekeeLiberia kumetulia kwa muda mrefu lkn ukumbuke ni dhamana ya UN
Liberia kumetulia kwa muda mrefu lkn ukumbuke ni dhamana ya UN
Hiyo dhamana ya UN imeshindikana vipi kwa Wasomali na ikawezekena kwa Liberia pekeeLiberia kumetulia kwa muda mrefu lkn ukumbuke ni dhamana ya UN
koh! koh! koh! am lukingi foo uuuuuhWana laana hao
mkuuMasikini Doe alikufa kifo kibaya sana,halafu alikuwa na kibamia
koh! koh! koh! am lukingi foo uuuuuh
nimekumithiii thana mai uthingidhiiiAm rite hia
yaani ilikua vita ya weusi na machitara kama unavyoona mtu akienda kusoma wiki mbili tu akirudi na yeye anajiona mmarekani fulani hivihapa ndo najiuliza inamaana sisi black tumeshindwa kujitawala wenyewe kabisa kwa maana hii nchi imeundwa na watumwa waliochwa huru toka america hivyo walikuwa na exposure na jinsi vitu vinavyoenda duniani hivyo wangeweza kuwakomboa weusi wenzao lakini cha kushangaza ndo kwanza walitengeneza utengano kati ya wale natives na hao immigrants na hiki ndo chanzo kikubwa cha mitafaruku yote hiyo. watu weusi tuna ubinafsi wa asili kabisa.
Fikra zako ni sahihi lakini kumbuka hao waliotoka huko ni miaka ileeee ambayo mtu mweusi kwa huko USA hakuwa na thamani zaidi ya kulimishwa penye mashamba ya pamba na mahindi huo ustaarabu angeupata wapi?Na wengi wao kama inavyojulikana walikuwa aidha wagonjwa au watukutu ndo mnyamwezi akaona hawa niwatafutie kwao.hapa ndo najiuliza inamaana sisi black tumeshindwa kujitawala wenyewe kabisa kwa maana hii nchi imeundwa na watumwa waliochwa huru toka america hivyo walikuwa na exposure na jinsi vitu vinavyoenda duniani hivyo wangeweza kuwakomboa weusi wenzao lakini cha kushangaza ndo kwanza walitengeneza utengano kati ya wale natives na hao immigrants na hiki ndo chanzo kikubwa cha mitafaruku yote hiyo. watu weusi tuna ubinafsi wa asili kabisa.
Funguka dada preta mambo ya kuhama tena yakoje?Hivi nahamaje JF kwa mfano........
Kumbe bado Ana ushawishi japo kiasi.!!kwa sasa ni Seneta wa Jimbo moja ila huenda aakawania tena urais ingawa hatajwi tena kuwa na ushindani kama ule wa mwanzo kwa kuwa makamu wa Raisi anatajwa sana
![]()
Huku ni kama ndoa ya kikristu kuhama hadi mmoja afe.Hivi nahamaje JF kwa mfano........