Ijue Liberia

Ijue Liberia

Historia fypi ya marehemu
e4d4baeb8553d1296386f6e2ab0c21f3.jpg
e49c064fb84e6f3e5e2421aa41898592.jpg
Samuel K Doe alizaliwa Tuzon Liberia mwaka 1951mwezi wa 6 katika maisha yake alibahatika kupata watoto 8 na wajukuu wawili, mkewe aliitwa Nancy
Tar 12.4.1980 alifanya mapinduzi na kumuua rais aliyekuwa madarakani bwana W.R.Tolbert na viongozi wengine wengi kati yao wakiwa marafiki zake wa karibu
Mwaka 1985 alifanya uchaguzi wa figisu na kuingia tena madarakani kama rais wa kidemokrasia
Miaka mitano iliyofuatia alifurahia utawala wake huku akipata ulinzi wa wamarekani kutokana na maslahi binafsi ya vita baridi na soviet
Mwaka 1989 soviet union ilianguka na ndio mwaka huo huo Charles muasi alipofanikiwa kutoroka jela marekani na kukimbilia Ivory Coast ambako alipanga uasi dhidi ya Samuel Doe na hatimaye tar 9.9.1990 aliingia Liberia na kufanikiwa kumkamata Doe na kumpelekeka kambi ya kijeshi ambako aliteswa sana na kukatwa masikio yote huku alichukuliwa video iliyosambazwa dunia nzima
Alifariki uchi wa mnyama akiwa na umri wa miaka 39 tu
b4f97e3995d191b601e9e981db4d0996.jpg
 
NAANGALIA HAO VIJANA T-SHIT ZAO NA SILAHA WALIZOSHIKA HAVIENDANI KABISA
 
UMEN

umeniongezea nondo sana hapaila kutoroka kwa Charles n=kuja Liberia ni mantiki ile ile
 
Back
Top Bottom