kibanga 3
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,380
- 977
Shamrashamra ziko lumumba sio zanzibarNasikia ccm imeweka rekodi huko Zanzibar, ukiambia eti watasherehekea
Shamrashamra ziko lumumba sio zanzibarNasikia ccm imeweka rekodi huko Zanzibar, ukiambia eti watasherehekea
Maneno yako yana hekima kubwa sana lakini sio kwa viongozi wa nchi hii wanaodhani mabavu ndiyo suruhisho ila siku yaja haya uliyoyasema tutayakumbukaUhuru wa kweli lazima damu imwagike.. Tanzania tunaenda huku... Wacha watawala waendelee kutuona sisi wapumbavu tusiokuwa na thaman.. Dkk Moja inatosha kabisa kubadilisha historia
huu uchuro wako peleka kwa mama na baba yakoUhuru wa kweli lazima damu imwagike.. Tanzania tunaenda huku... Wacha watawala waendelee kutuona sisi wapumbavu tusiokuwa na thaman.. Dkk Moja inatosha kabisa kubadilisha historia
Hv yaliko mabavu hua hampajui kweli?yakija mabavu hapa tz hata kuingia hapa jf hatutaweza.tuseme tu upinzani wa kweli haujaja bado,kuna upinzani biashara.upinzani wa kweli hubadilishiwa msemo na kuitwa uasi,mfano ni kama kina Jonas Savimbi na Che GuevaraManeno yako yana hekima kubwa sana lakini sio kwa viongozi wa nchi hii wanaodhani mabavu ndiyo suruhisho ila siku yaja haya uliyoyasema tutayakumbuka
darasa fupi lakini la kushiba hili, sante sana mkuukuna baazi ya black walirudishwa na mwana harakati marcus garvey kama mojawapo ya njia ya kuwapatia uhuru black people,huyu jamaa alikuwa mzaliwa wa visiwa vya carribian,alipingana sana na wanaharakati wenzake kama Dubous ambaye alikuwa anaamini kuwarudisha black africa ni kuwaongezea matatizo,inakadiliwa takribani watu 2000 walilidhia kurudi chini ya UNIA( Universal Negro Improvement
Association ),.hawa jamaa walikuwa na meli yao ambayo ilipewa hilo jinala UNIA.baadae marcus garvey alifungwa na harakati zake zikaishia hapo.,kama nimekosea ruhusa kunikosoa.....maana siku nyingi kama miaka mitano iliyopita toka nisome haya mambo
Peace in Liberia, Peace in Monrovia...dah lazima ucheze huu wimbo wa mahadhi ya rege"no matter who wins... Liberia is crying out!
" no matter who loose... Liberia is still crying out!
"no matter who is wrong... We've got to stop the fight" peace in Liberia... Peace in Monrovia...
Alpha Brondy