Ijue Liberia

Ijue Liberia

kuna baazi ya black walirudishwa na mwana harakati marcus garvey kama mojawapo ya njia ya kuwapatia uhuru black people,huyu jamaa alikuwa mzaliwa wa visiwa vya carribian,alipingana sana na wanaharakati wenzake kama Dubous ambaye alikuwa anaamini kuwarudisha black africa ni kuwaongezea matatizo,inakadiliwa takribani watu 2000 walilidhia kurudi chini ya UNIA( Universal Negro Improvement
Association ),.hawa jamaa walikuwa na meli yao ambayo ilipewa hilo jinala UNIA.baadae marcus garvey alifungwa na harakati zake zikaishia hapo.,kama nimekosea ruhusa kunikosoa.....maana siku nyingi kama miaka mitano iliyopita toka nisome haya mambo
 
Umenikumbusha huyu mtu Marcus mosiah garvey longtime khabari zake ulivyo andika ni sahihi kabisa alikuwa ni mzaliwa wa Jamaica.Movements za weusi zilianza siku nyingi ila waelewa walikuwa wachache akili zilikuwa zimegandamizwa kwa udhalimu waliokuwa wakitendewa.
 
Sanko Wa RUF alikuwa na kamanda wake maarufu kwa aka ya "Mosquito yaani Mbu". Walisumbua sana kwa ushirikiano nae Taylor.
Inasemekana hiyo Vita ya Siera Leone iliyoongozwa na Fodey Sanko ndiyo vita iliyokuwa na ukatili mkubwa kupata kutokea duniani,Mikono au miguu ya binadamu akiwa hai vilidumbukizwa kwenye mafuta yanayochemka.
 
Doe alipinduliwa na bwana mmoja anaitwa Prince Johnson ambaye inasemekana alikuwa na kasoro kwenye ubongo.
Kinachonishangaza huyu bwana prince Johnson sasa hivi ni senator wa jimbo la nimba, bado yupo kwenye siasa, .

Historia ya Johnson ni mtu katili na mkorofi sana, kitendo cha kumuua doe kwa mateso makali kiasi kile kinadhihirisha hili, hata baada ya Charles Taylor na huyo prince Johnson kutwaa madaraka walifanya zaidi ya aliyofanya doe, kifo cha doe hakikusitisha vurugu, waligombana na Taylor na kufanya uhalifu mkubwa sana, inanishangazi kuendelea kumuona prince Johnson muuaji wa doe katika siasa za Liberia hadi leo hii akiwa senator wa jimbo la nimba, pamoja na uhalifu wote aliyofanya

Machoni mwa waliberia wa wakati huo, Hakukua na mtu wa nafuu kati ya wote watatu katika mgogoro ule, yaani doe the president, na Taylor na prince Johnson kwa upande wa waasi, maana wote ni majambazi

Ndio maana alpha blonde alitamka kuwa anasikitisha kuona wanaopigania kuingia madarakani ni majambazi na alieko madarakani ni jambazi hivyo waliberia ndio loosers

Prince Johnson alipaswa kuwa the Hague kwa sasa
 
Pamoja na yote ayo alifanya na useneta wakampa...?!
 
Ongezea na hii record ya dunia katika wizi wa kura..

Charles D. B. King
Liberia's president from 5 January 1920 – 3 December 1930
220px-CBD_King_of_Liberia.jpg

In 1927 presidential elections according to an official statement, King received 234,000 votes;however, Liberia had 15,000 registered voters at the time. Thus won King the dubious achievement of being listed in the Guinness Book of Records for the most fraudulent election reported in history.
Nimecheka sana, haka kajamaa kama Joti
 
Tuishi kwa upendo na uvumilivu baina yetu,nimejifunza hapa.
 
muda wa kunyoa ataupata wapi kila saa anatafuta vita
Duh...marehemu kafa na mav*z* yake kicheko kwa muoshaji,prezidaa alikuwa mchafu aisee hata kunyoa hayo madude.walimtesa kwelikweli kumbe walimpunguza na viungo,
 
uwe na bando la kutosha maana utaona akisagika kuanzia nywele hadi kucha za miguu ........nenda kajiunge na bando la chuo kwanza halafu uje utaikuta nimeibandika tayari
Jmn hii hatari!!! Hivi kwanini viongozi hawajifunzi?
 
Uhuru wa kweli lazima damu imwagike.. Tanzania tunaenda huku... Wacha watawala waendelee kutuona sisi wapumbavu tusiokuwa na thaman.. Dkk Moja inatosha kabisa kubadilisha historia
 
Back
Top Bottom