Ijue Liberia

Ijue Liberia

hapa ni 1990 doe kauawa baada ya kukatwa vidole vya mkono wa kulia, masikia na kakidole kadogo mguuni.

4487c8b693aadfe98f36663ac4321189.jpg
 
Kipindi hicho nilikuwa nasikia news tu kwamba majeshi ya ECOMOG yakiongozwa na Nigeria yameenda tuliza amani,na nasikia walifanya udhalilishaji mkubwa sana na mauaji, je kuna uhusiano kati ya vita vya siera leon na vile vya liberia?kwa kumbukumbu zangu kuna jamaa alikiwa anaitwa Foday sanko hivi nilimsikia sana naye kwa radio ya band mbili.
Sanko Wa RUF alikuwa na kamanda wake maarufu kwa aka ya "Mosquito yaani Mbu". Walisumbua sana kwa ushirikiano nae Taylor.
 
Kuna elimu kubwa sana humu JF ndio maana ni ngumu kutoka........nimemjibia,,,, Preta si ndio hivyo eeh!!
Yaah! jibu lako linasadifu penye ukweli kabisa tunapata ilmu nyingi sana humu na pia hupunguza kama sio kuondosha stress kabisaaaaa.
 
mkuu huyu mama alikuwa waziri wa fedha wa Tolbert ambaye alikuwa freemasons. kabla ya doe liberia ilikuwa chini ya vizazi vya wamarekani weusi ambao karibu wote walikuwa mafreemasons.
mkuu huyu mama alikuwa waziri wa fedha wa Tolbert ambaye alikuwa freemasons. kabla ya doe liberia ilikuwa chini ya vizazi vya wamarekani weusi ambao karibu wote walikuwa mafreemasons.
Tangu mlijue neno freemason imeshda sana tangu ni lini alikwambia yeye ni freemason na utwambie misingi ya ufreemason ni ipi?msiwe kama makinda ya ndege chochote kiletwacho na mama yake ni kupanua kinywa
 
Uhalisia wetu
Kutoka hapa kwenye heshima kuu na ulinzi uliotukuka
50f152187a3c150baf6e11e8a9d98f7f.jpg

mpaka kuja kuishia hapa. Kifo cha mateso dhihaka na aibu kubwa huku watesi wako wengine ni watu waliokuwa karibu yako ukila na kunywa nao na pengine ukawasaidia kwa mengi
c96f29c957e6b0febd127870a14e8629.jpg
4487c8b693aadfe98f36663ac4321189.jpg

Kikulacho ki nguoni mwako..ogopa sana anayekuchekea usoni kuna anakulamba kisogo
34bb711549ad2cdc59ba7231be5b88bb.jpg
370d5a981db6b7c6d8a2780fd759e0ad.jpg

Samuel Doe kifo chako kina funzo kubwa kwa watawala wa Afrika
Alifanyiwa ukatili mkubwa sana na huenda walimuua kimakosa kwasababu hawakuja adui yao ni nani.
 
Tangu mlijue neno freemason imeshda sana tangu ni lini alikwambia yeye ni freemason na utwambie misingi ya ufreemason ni ipi?msiwe kama makinda ya ndege chochote kiletwacho na mama yake ni kupanua kinywa
hilo suala kwa Liberia lipo kwenye historia yao. huwezi soma historia yao bila kusoma hilo.
 
hilo suala kwa Liberia lipo kwenye historia yao. huwezi soma historia yao bila kusoma hilo.
Sawa mkuu japo kuwa historia yake nimeisoma juu juu kweli inaonyesha alikuwa ni mjeuri. lakini swali linakuja huo ujeuri alikuwa anaupata wapi.
 
Mambo mazuri yanastahili sifa, obvious utakuwa umeumiza kichwa kutujuza, kudos mkuu
 
hapa ni 1990 doe kauawa baada ya kukatwa vidole vya mkono wa kulia, masikia na kakidole kadogo mguuni.

4487c8b693aadfe98f36663ac4321189.jpg
Duh...marehemu kafa na mav*z* yake kicheko kwa muoshaji,prezidaa alikuwa mchafu aisee hata kunyoa hayo madude.walimtesa kwelikweli kumbe walimpunguza na viungo,
 
Duu huyu Samauel Doe alikua Rais akiwa na umri mdogo.. Kama kweli alizaliwa 1951, na nikiangalia mwaka aliokufa napata shaka kua na wajukuu
 
Back
Top Bottom