Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

Mnafiki/mwenyechuki utamjua
tuu kwa maandiko yakena mataamshi

Hivi ww bila ya kuwasakama waisilaamu huooni raha

Mwana haramu hata akawekwe kwenye chupa atatoa kidole tuu

Mkuu,

Huyo kilaza wa kihehe asikusumbue asilan! Yericko Nyerere anajulikana ni tapeli mchovu wa maisha na mlemavu wa fikra ...anaetumika tu hapo mjini kwa maslahi ya kisiasa ya vilaza wangine! Daah!

Ahsanta sana.
 
Hilo ni kaburi la Sharif na Imam mkuu wa msikiti mkubwa ulokuwepo hapo kabla ya kuingia wajerumani.
Msikiti huo ndio wa kwanza kabla ya kanisa la St Joseph pale Sokoine Drive.

Germans waliposhika hatamu za Tanganyika waliamua kujenga ofisi na nyumba zao barabara hii ya samora na sokoine.ndio mjii wa kisasa ulipoanza kujengwa.

Hivyo huu msikiti ulokuwapo hapo clock tower nao ukawa lazima uvunjwe katika master plan yao.

Wajerumani walipata upinzani mkuu kutoka jumuia ya waislam na wenyeji kuhusu kuvunjwa msikiti huo. Baadae Governor wa German Tanganyika walikubaliana kuuhamisha msikiti huo na kujengwa pale Kitumbini na kukubaliana kaburi la Sharif libaki hapo hapo kama ukumbusho kwa waloleta uislam Dar Es Salaam.

Hapa jambo moja ni kuwa hawa wajerumani walitawala Tanganyika lakini wakiheshimu mila na taratibu za wenyeji kama uchifu na Customary laws.

Pia waliheshimu tarehe za sherehe za kiislam na sheria za mahakama ya kadhi walozikuta.

Waingereza nao waliookuja waliheshemu pia waliheshimu hizi taratibu na hakuna mahali inapo onesha kuwa lilikua tatizo kuruhusu mahakama ya kadhi.

Kinachoshangaza sasa baada ya uhuru wafrika kujitawala na wakristo wafrica ambao hawakuwepo hapa dar es salam leo wamepiga marufuku Mahakama ya kadhi kwa chuki za kidini. Wale walowaletea ukristo hawakuona kuwa ni tatizo ila wao wamejenga chuki dhidi ya Waislam.

Anyway huu msikiti wa Kitumbini ulijengwa na Wajerumani kulipa ule ilokuwapo clock tower na tembelea huu msikiti uone archtect yake ilivo nzuri na kuta imara utadhani umejengwa juzi.

Chuki za kidini zimeletwa na wakuja waloingia Dar juzi kwa azimio la Arusha
 
Hilo ni kaburi la Sharif na imam mkuu wa msikiti mkubwa ulokuwepo hapo kabla ya kuingia wajerumani.
Msikiti huo ndio wa kwanza kabla ya kanisa la St Joseph pale sokoine drive.
Germans waliposhika hatamu za Tanganyika waliamua kujenga ofisi na nyumba zao barabara hii ya samora na sokoine.ndio mjii wa kisasa ulipoanza kujengwa.
Hivyo huu msikiti ulokuwapo hapo clock tower nao ukawa lazima uvunjwe katika master plan yao.
Wajerumani walipata upinzani mkuu kutoka jumuia ya waislam na wenyeji kuhusu kuvunjwa msikiti huo. Baadae governor wa germany Tanganyika walikubaliana kuuhamisha msikiti huo na kujengwa pale kitumbini na kukubaliana kaburi la Sharif libaki hapo hapo kama ukumbusho kwa waloleta uislam Dar es salaam.
Hapa jambo moja ni kuwa hawa wajerumani walitawala Tanganyika lakini wakiheshimu mila na taratibu za wenyeji kama uchifu na customary laws.
Pia waliheshimu tarehe za sherehe za kiislam na sheria za mahakama ya kadhi walozikuta.
Waingereza nao waliookuja waliheshemu pia waliheshimu hizi taratibu na hakuna mahali inapo onesha kuwa lilikua tatizo kuruhusu mahakama ya kadhi.
Kinacho shangaza sasa baada ya uhuru wafrika kujitawala na wakristo wafrica ambao hawakuwepo hapa dar es salam leo wamepiga marufuku mahakama ya kadhi kwa chuki za kidini. Wale walowaletea ukristo hawakuona kuwa ni tatizo ila wao wamejenga chuki dhidi ya waislam.
Anyway huu msikiti wa kitumbini ulijengwa na wajerumani kulipa ule ilokuwapo clock tower na tembelea huu msikiti uone archtect yake ilivo nzuri na kuta imara utadhani umejengwa juzi.
Chuki za kidini zimeletwa na wakuja waloingia Dar juzi kwa azimio la arusha
Mkuu Crabat, this is rich history must be preserved!.

Ukiweza kutuambia pia ni makaburi ya kina nani pale Ofisi ya Rais, Mejejimenti ya Utumishi wa Umma, na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Tamisemi, pia nitakushukuru.

Pasco
 
Mkuu,

Huyo kilaza wa kihehe asikusumbue asilan! Yericko Nyerere anajulikana ni tapeli mchovu wa maisha na mlemavu wa fikra ...anaetumika tu hapo mjini kwa maslahi ya kisiasa ya vilaza wangine! Daah!

Ahsanta sana.

Kwanini uguse kabila la mtu!!! Daaah! Asilani inakuwa si vema ungemwambia tu kwa staha..!
Wengine hapa pia ni wahehe kwayo unachotufanzia yakuwa si jambo jema. Ndio kusema kwamba kama wadhalilisha letu.. daah!
Mkuu Gs-300 naelewa weye ni wa mjini hapa na kwa kadri ya bayana zako mbalimbali tupe basi na data ya makaburi yaliyopo hapo tamisemi kwayo alupata kuuliza kaka Pasco..
Ahsanta sana
 
Last edited by a moderator:

Huyo kilaza wa kihehe ajiitae yericko nyerere...hafahamu,hastahili wala haijui maana staha!...history yake weye binafsi unaifahamu mno hunu-JF, au!?

Kwani pale jumba la makumbusho/National Museum...si wapo wale wakuja vilaza wanatoa history magumashi kukhusu Mzizima/D'salaam, kama walivyofundishwa na yule Nyerere!? Daah!...sasa, kwanini usende pale "kujielimisha" kwayo!? Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Mkuu, mimi ni Mkinga wa hapa kijijini Makete...kwa hiyo walaa sipati dhiki abadan, ati kwa kunasibishwa na kabila langu!?

Wahehe takriban woote walokua wakiketi pale Upanga wakti ule, nalikua nikiwafahamu...embu nikumbushe ile nyumba/mtaa wenu pale!?...au umeamua tu kunirusha stimu, sio!? Daah! Haya bana!

Ahsanta sana.
 
Mkuu Remote na Pasco,

Hizi shughuli za kuchunguza makaburi hapo nchini mmeamua kumuachia huyo yericko nyerere, sio!? Daah!...ambae mnafahamu fika yakua huyo ndo msemaji mkuu rasmi wa Chadema mitandaoni!

Sasa, je hizo shughuli za usemaji wa Chadema na kuchafua Viongozi wetu mitandaoni...atazifanza nani!?

Au ndo mmeanza ile strategy yenu ya kuzidi kuizika/kuimaliza Chadema kinyemela!?...kwa kuwapa viongozi wake kama muhehe yericko shughuli nyangine nje ya chama chao, sio!? Daah!

Kweli D'salaam ni shule!...yaani maskini yericko nyerere kamaliza utapeli woote pale mujini, lakini hakuna faraja lopatikana hata kiduchu!...sasa kaishia shughuli ya kuchungulia makaburi, tena mchana kweupe!? Looh! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Ahsantani sana!
 
Niliwahi sikia juu ya hilo kaburi, hapo palikuwa na nyumba ya mhindi -Mtanzania. Alifiwa na mkewe na akuwa na mtoto, wala mrithi mwingine. Hivyo alikabidhi eneo hilo kwa Mwl. nyerere, akamwambia watu wapunzike katika eneo lile, pasijengwe chechote, mpaka hati yake ya ardihi itakapokwisha., ndipo mwl akawakabibidhi hlmashauri ya Jiji walitunze

Mh sasa hati yake haijakwisha?
 
Tuifanye kuwa AGENDA ya nitoke vipi labda kuna UFISADI unafanyika .... hapa kuna kura kibao 2015 tuki exaggrate hii story
 
Wana jamvi naomba kuondolewa ushamba kidogo eti lile kaburi pale kwenye bustani karibu na mnara wa saa dar es salaam ni la nani?
 
Hilo ni kaburi la Sharif na imam mkuu wa msikiti mkubwa ulokuwepo hapo kabla ya kuingia wajerumani.
Msikiti huo ndio wa kwanza kabla ya kanisa la St Joseph pale sokoine drive.
Germans waliposhika hatamu za Tanganyika waliamua kujenga ofisi na nyumba zao barabara hii ya samora na sokoine.ndio mjii wa kisasa ulipoanza kujengwa.
Hivyo huu msikiti ulokuwapo hapo clock tower nao ukawa lazima uvunjwe katika master plan yao.
Wajerumani walipata upinzani mkuu kutoka jumuia ya waislam na wenyeji kuhusu kuvunjwa msikiti huo. Baadae governor wa germany Tanganyika walikubaliana kuuhamisha msikiti huo na kujengwa pale kitumbini na kukubaliana kaburi la Sharif libaki hapo hapo kama ukumbusho kwa waloleta uislam Dar es salaam.
Hapa jambo moja ni kuwa hawa wajerumani walitawala Tanganyika lakini wakiheshimu mila na taratibu za wenyeji kama uchifu na customary laws.
Pia waliheshimu tarehe za sherehe za kiislam na sheria za mahakama ya kadhi walozikuta.
Waingereza nao waliookuja waliheshemu pia waliheshimu hizi taratibu na hakuna mahali inapo onesha kuwa lilikua tatizo kuruhusu mahakama ya kadhi.
Kinacho shangaza sasa baada ya uhuru wafrika kujitawala na wakristo wafrica ambao hawakuwepo hapa dar es salam leo wamepiga marufuku mahakama ya kadhi kwa chuki za kidini. Wale walowaletea ukristo hawakuona kuwa ni tatizo ila wao wamejenga chuki dhidi ya waislam.
Anyway huu msikiti wa kitumbini ulijengwa na wajerumani kulipa ule ilokuwapo clock tower na tembelea huu msikiti uone archtect yake ilivo nzuri na kuta imara utadhani umejengwa juzi.
Chuki za kidini zimeletwa na wakuja waloingia Dar juzi kwa azimio la arusha
Mkuu crabat, wajerumani walitawala eneo lililoitwa "German East Africa" ambayo iliingiza Rwanda na Burundi, hiyo Tanganyika ilikuja baada ya vita kuu ya kwanza ambapo makoloni ya wajerumani yaligawiwa kwa waingereza na rafiki zao, kwa hiyo Tanganyika ilikuwa chini ya waingereza na sio wajerumani.
 
Kuna bustani moja katikati ya jiji la Dar es salaam (katikati ya barabara ya Samora, India na Mosque) maeneo ya clock tower. Ukifika katika bustani hiyo, kitu cha kwanza utakachokiona pale ni kaburi lililojengewa na marumaru nyeupe na ambalo kwa mujibu wa watu waliozoea kukaa pale mara kwa mara ni kwamba kuna mtu maalumu ambaye hulifanyia usafi kila siku kwa kuliosha na kusafisha mazingira yaliyozunguka kaburi hilo (siyo bustani yote!) na hulipwa mshahara wake kwa kazi hiyo (sijui hulipwa na nani). Vile vile nimesikia kwamba baadhi ya watu huenda kuabudu pale nyakati za usiku.

Swali, je kaburi hili ni la nani ambaye ni muhimu sana kiasi hicho katika historia ya nchi yetu hadi akazikwa katikati ya jiji? Je, kaburi hili likihamishwa pale kama mengine yavyohamishwaga kutakuwa na athari gani?

Nilidhani mtu wa muhimu sana katika historia ya nchi yetu ni Marehemu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere ambaye kama angelizikwa pale au sehemu inayofanana na hiyo ingetoa mwanya hata vizazi vyetu vijavyo kuona na kushuhudia alipolazwa mhasisi wa Taifa letu, vile vile kwa vitendo vya hawa MAFISADI tungeweza kuamua wana JF tukaenda kuwaombea dua baya.

Mkuu utotoni tumecheza sana pale kwenye Bustani hadi pale ilipovamiwa na wale watoto watundu kipindi kile walikuwa wanaitwa Changudoa na sio kama sasa hivi Changudoa ni muuza Uchi... Bustani ilivamiwa na hao watoto kisha wakaja Omba omba haswa na familia zao wagogo na sisi tukakosa kabisa sehemu za kuchezea michezo ya kitoto kama Bembea kuteleza n.k kwa akili yangu sikufahamu kama kuna kitu kama hicho kaburi maana siku si nyingi kuna mtu alikuwa anamuelekeza mtu Dukani kwake na huyo mtu akawa hamuelewi akaniuliza Kaburi moja ni wapi nami nikaduwaa wakati mimi ni Master wa City Centre Mitaa na Vichochoro nilikuja kumuelewa aliposema bustani na pia lipo kaburi pale Nikaduwaa na nilipoenda kweli nikalikuta... eno hilo kitambo kulikuwa na Bembea ya chain kubwa... ni Madereva taxi wamaduwaa tu...

Kama ni kaburi la kitambo basi sikulifahamu utotoni na kama lilikuja baadae sikufahamu hii kitu... Nchokumbuka pale kulikuwa na mitambo maalum ya kilipia parking pembezoni unalipa mwenyewe kwa lisaa ilikuwa ni 1 shillings ukitumbukiza dala chenge inatoka...
 
hilo no kaburi la shekhe mkuu wa msikiti wa kwanza kabisa wa mzizima ambao hapo awali ulikuwa maeneo ya magogoni karibu na ikulu,ukaja kuhamishiwa maeneo hayo ya clock tower nadhani bado upo had Ieo,ni msikiti wa miaka ya 1800,zama za usultani
 
Hata pale Utumisbi kuna makaburi ya zamani nadhami.ni ya waarab wa miaka hiyo
 
CCM ikishinda uchaguzi mwaka huu kile kiwanja kitauzwa kwa wawekezaji feki a,k.a mafisadi na hili kaburi litahamishwa.

MARK MY WORDS
 
hilo no kaburi la shekhe mkuu wa msikiti wa kwanza kabisa wa mzizima ambao hapo awali ulikuwa maeneo ya magogoni karibu na ikulu,ukaja kuhamishiwa maeneo hayo ya clock tower nadhani bado upo had Ieo,ni msikiti wa miaka ya 1800,zama za usultani

Msikiti wa kwanza kujengwa ulikuwa mahala palipo kanisa la Kilutheri sasa hivi Hapo Luther House
 
Mkuu utotoni tumecheza sana pale kwenye Bustani hadi pale ilipovamiwa na wale watoto watundu kipindi kile walikuwa wanaitwa Changudoa na sio kama sasa hivi Changudoa ni muuza Uchi... Bustani ilivamiwa na hao watoto kisha wakaja Omba omba haswa na familia zao wagogo na sisi tukakosa kabisa sehemu za kuchezea michezo ya kitoto kama Bembea kuteleza n.k kwa akili yangu sikufahamu kama kuna kitu kama hicho kaburi maana siku si nyingi kuna mtu alikuwa anamuelekeza mtu Dukani kwake na huyo mtu akawa hamuelewi akaniuliza Kaburi moja ni wapi nami nikaduwaa wakati mimi ni Master wa City Centre Mitaa na Vichochoro nilikuja kumuelewa aliposema bustani na pia lipo kaburi pale Nikaduwaa na nilipoenda kweli nikalikuta... eno hilo kitambo kulikuwa na Bembea ya chain kubwa... ni Madereva taxi wamaduwaa tu...

Kama ni kaburi la kitambo basi sikulifahamu utotoni na kama lilikuja baadae sikufahamu hii kitu... Nchokumbuka pale kulikuwa na mitambo maalum ya kilipia parking pembezoni unalipa mwenyewe kwa lisaa ilikuwa ni 1 shillings ukitumbukiza dala chenge inatoka...
Mkuu Mlaleo, haya maelezo yako ndio yanaweza kutoa mwanga zaidi. Hii sehemu nafikiri ilikuwa wazi tu lakini wakati wa 'chokochoko' za siasa za udini miaka ya mwanzo mwa tisini ndipo watu (from nowhere) wakaja na kuweka alama za kaburi. Baada ya wengine kubisha ndipo baadhi (pia from nowhere) wakadai kuwa alizikwa Ustaadhi fulani pale hivyo kutokana na mazingira ya wakati huo hoja ikapata nguvu na mpaka wakalijengea na hizo marumaru nyeupe.
Labda tumuulize Mohamed Said mtaalamu wa histori tata za aina hii kama kweli anamjua aliyezikwa pale lakini kama naye hajui basi Archeologists itabidi waje wafanye kazi yao ili kuweka kumbukumbu sawa.

Back
Top Bottom