msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,827
- 1,729
Siku zote ulikuwa hulijui hilo?
Kwakweli sikua nalijua hili... anazungumza openly namana hii.. vipi Prof. Safari akikutana na thread hii watatazamanaje humo ofisini?? au wanachama wa chadema huko ZNZ, Pwani na maeneo mengine.. wakichukulieje chama ikiwa vijana waandamizi wanamitazamo hii?? nadhani chadema wawe makini sana na vijana wao wasije tafuta mchawi 2015... sina haja tena na chama hiki personally ... huwezi sema yale aliyozungumza ni mtazamo wake binafsi na sio wachama,,, kwani chama ni nyumba na viti chama ni watu....