Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,611
- 3,342
Bado nafuatilia hizo taarifa.
Wanapandia pale wanapopandia watu wa Zanibar; kwa maelezo niliyoyapata. Kwa sasa ninachojua hiyo Meli itaondoka Jumamosi hii. Kama Uko jirani unaweza kufika hapo
Ni kweli hizo Meli za mizigo haziko consistent; zinasumbua Sana.
Nilidhani una A-Z, anyway nahisi labda hawa jamaa wa Zanlink.....Fatilia.
Na mlolongo wa route was supposed to be
Dar-Moroni-Fomboni-Anjouan
na kwa calculation tulizofanya kipindi hiko ni ilikuwa kwa meli ya 35knots speed ingechukua 12 hours to Moroni,ila hatukuendelea niliiacha report na proposal imetumwa serikalini kule.