Ijue Botswana japo kidogo tu

Mafikeng /Mahikeng ninakoishi Gold digger aka Ben 10
 

Kwa hyo imegeuka kuwa jiwe walilolikataa waashi..!
 

Raisi wa kwanza wa Botswana alikuwa akiitwa Sir Seretse Khama, Baba yake na huyu raisi wa Sasa, yeye anatoka kabila la Bamangw'ato na ukoo wao ni wa kichifu na yeye ndiye alipaswa kuwa chief lakini walimgomea kwa sababu alipotoka shule ulaya alikuja na mwanamke wa Kizungu (Ruth William-Khama), lakini baadae walimwelewa

Walipokuja kugundua Almasi, wakasema kabisa Almasi ni mali ya Serikali ni marufuku kwa mtu yoyote kufanya biashara ya Almasi na kikatngenezwa kikundi special cha kulinda magendo ya Almas kikiitwa Diamond Squad, hao wakikukuta unafanya biashara ya Diamond hawana mjadala

Na Watu wa Kwanza kwenda kufanya kazi ya kukata na kupolish Diamond walikuwa ni Watanzania walijifunza kazi hiyo pale Tuncut Iringa wakiongonzwa na Mzee Msami, mzee mwenye Crystal palace pale ilala, pia ana hotel kama hiyo na jina hilohilo la crystal palace pale Botswana-Gaborone
 
Asante sana mkuu.
 
Wanawake wengi wa botswana ni shidaa , wamefungasha nyuma hatarii....alafu wao ni easy easy tu unapiga mzigo, ila tatizo kubwa kwao ni NGOMA
Hivi ndugu zangu mbona mmekuwa mnashadidia sana makalio makubwa!? Hivi makalio yana uhusiano gani na uzuri, usafi na sehemu nyeti za mwanamke. Angalieni sana shetani yuko kazini
 
Asante sana mkuu.

Jamaa wanajitahidi kwenye uaminifu, na welfare ya raia wao, Keki yao wanakula wote, kila mtu yuko happy,

Unaweza kwenda sehemu unakuta pori lakini lina miundo mbinu yote, maji, umeme barabra, shule nk lakini hakuan mtu, na wanasema wanajenga kwa ajili ya baadae, madini yanaweza kwisha au yakakosa soko wao watakuwa tayari wameshawekeza

Wanawajali sna raia wao, kwa mfano watu wenye ukimwi unakuta wanapewa vyakula vya mwezi mzima Bure, hapo wamnapewa Maharage, Sukari na uji wao (Mutogo), ni mchi nzuri sana na mfano wa chi zilizoendelea bila imput ya Wazungu, Iko kwenye level moja na Zimbabwe, South Africa na Namibia kwa kujengwa lakini hizo zote zimejengwa na wazungu bali Botswana na "Waswahili"
 
Tafsiri ya mbana pua ndio umegoma kusema sio? Au ni mtumia ngada?
 
Safi saana mkuu
 
Ndo huyu Mkuu!
Botswana President named as Racist of the Year 2016
29 September, 2016

President Ian Khama was named Survival's Racist of the Year 2016 for comments he made about the Bushmen
[emoji767] Foreign and Commonwealth Office
Ni Mtoto wa IKULU HUYO! Baba yake alikuwa presida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…