Ijue Botswana japo kidogo tu

..kabisa + kuvuana nguo huku si jambo la ajabu hata kidogo 😀😀😀😀
 
Mbona rais wao ni kama 'mzungu' (shombe)?
 
Kente ke tsala..kihafela...masa...dumelang...tihako tihabana...
 
Hapo unataka jibu ama?
Nategemea jibu, lakini sio kutoka kwako. Nategemea mtu anielezee historia ya ancestry ya rais na ilikuwaje mtu 'mweupe' akawa chifu wa watu weusi. All of this is above your pay grade.
 
Andaa tu milioni moja na nusu ya Kitanzania, siku mbili au tatu kama kutembea zinatosha mkubwa. (Sina uzoefu sana na matumizi, mwezako huku niliko ni Mario kama mnavyotuita huko, nimefanya tathmini pasipo uhalisia kupitia mimi)
Hahahaaaa....mkuu kumbe wew ni Ben ten
 
Hiri rimjamaa rimejipendeleaga thana, eti Waswana wamewaiga Wasukuma,wapi???.
 
botswana mwanamke kuacha matiti wazi ni kawaida
Kuna mama mmoja na maisha yake niliingia restaurant, alivyokuwa amekaa aliniweka majaribuni hadi nikawa nahisi nameza ARV, ilibidi tu nipige picha bila flash asinistukie. Shikamoo Gaborone
Mtu aged huyo!! Hakuna Toplemon wala carolight hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…