Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Magwanda ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Hamkubaliki.

Kuwa mkweli FOX, miezi kumi na moja iliyopita magamba walishinda kwa kura 40,000+ lakini leo 26,000 hapa kuna tatizo kubwa.
 
Nawapongeza wote walioshiriki pale igunga, lakini ni kwa nini wapiga kura hawakufika hata ELFU 60???????????????????????:noidea:
 
dah matokeo bado hawayakubali?. tukubali ni maamuzi ya igunga.tujenge taifa letu kwa upendo wa maeendeleo na si ushabiki wa vyama.
 
fikra finyu fidivin, nyie ndo mko radhi kuolewa na wanaume kisa hamna namna ya kuishi!kashindye ni mshindi na magayane na mkapa wote wanajua yaliyotokea!na bado mtasikia mengi!wizi mwisho ni 40 mzee unadhani hayatafika shingoni kaka???masaa mangapi yametumika?ushenzi mkubwa!
 
Baada vuta nikuvute atimaye Dk Kafumu ametangazwa mshindi. kwa kupata kura 26484
 
safar bado ndefu,kafumu atafumuliwa 2015.kwa sasa aendelee kuibia serikal kwa kusain mikataba mibovu,mwiz mkubwa huyu!naomba hata ktk kuazimisha miaka 50 ya uhuru wataje kuwa moja ya mafanikio ya serikal ya ccm ni wizi(ufisadi).
 
Nakumbuka mwaka mmoja mzee Kifimbo alimwambia msimazi wa uchaguzi Zanzibar tangaza sasa hivi kura alizopata Maalim Seif zitamke kwa Dr Salmin. Isije kuwa hayo ndiyo ya Igunga! Anyway hongera Dr Kafumu, ila siku moja mbele ya haki yote yatawekwa wazi.
 
mgombea wa chadema na cuf hawapo hapa
wameenda mtini

Sasa CUF wamekimbia nini? Si walikuwa wanashirikiana na CCM dhidi ya CDM? Hata mtaji wao wa kura 10,000 za 2010, wamezichakachulia kwa CCM
 
There are currently 630 users browsing this thread. (179 members and 451 guests)
 
mgombea wa CUF kaibuka
na kukubali matokea
Kashukuru wananchi wa Ingunga kuchagua kiongozi anayefaa
 
Back
Top Bottom