Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

matokeo tayare,wote tuwe pamoja kwaajili ya maendeleo.kampeni basi tunasubiri vitendoo.
 
haya ccm imeshinda kwa kishindo IGUNGA. CCM ndio dume IGUNGA YALISEMWA MENGI. CDM WAKATAA MATOKEO.
 
Tume ya uchakachuaji imemtangaza kafumu mshindi, kazi kwao
 
Kafumu CCM kapata kura = 26,484
Kashinde Chadema kapata kura = 23,260

Hivyo mshindi ni Kafumu ndio ameshatangazwa hivyo........

hongera mwl. Kashindye. Tuijenge Igunga.
 
kwa mujibu wa radio one..wale jamaa wa magamba wameshinda. Pole sana igunga..maana hamjifunzi na makosa. Hongereni chadema kwa kufukuzia hawa jamaa, mmewaweza najua hapo walipo wameanza kuwaogopa. Yangu macho kwa huyo mbunge mliyemchagua.
 
Chadema wameyakataa matokeo sbb ya rafu nyingi zilizochezwa na ccm.
 
Okey wana haki ya kususa. na wanastahili pongezi jaribu kufikiri , wanapambana na ccm, cuf , bakwata na serikali, we kataka akiri yako na elimu yako ya madrasa unategea haki hapo????? acha kufikiri kwa kutumia masaburi .
kwel kabisa chadema ni kiboko
 
Hatimaye Kafumu atangazwa mshindi jimbo la Igunga
Source: TBC1
 
wizi kila mtu anajua hata wewe unajua yaliyofanywa!huu ujinga utaisha tu!
 
Sita awasha moto mpya Dowans,
asema ni biashara ya wahuni wachache, wezi.
 
Habari ndio hiyo,,ccm imetetea jimbo kwa mbinde,,cdm wapoteana dakika za mwisho..cuf a.k.a ccm 'b'chali chali kwisha kabisaaaaaaa
 
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, CDM kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !

Tatizo siasa mnazifanya kwa ushabiki kama wa mpira' hv kwa akiri yako ni sahihi kwa ccm kuongoza Igunga katika mazingira haya?!
 
Kafumu wa ccm ameshnda kwa kura 26484 na chadema wamepata 23260, cuf 2104
Hawa CUF mtaji wao wa 11000 wamewapa waume zao magamba!!! poleni nyie na helkopta iliyovuna 2104 shame
 
Igunga wamechagua mtu wanayemtaka. Tunawatakia kila la kheri. Kafumu asisahau ahadi zake.
 
Back
Top Bottom