IGP Said Mwema aongezewa mkataba

IGP Said Mwema aongezewa mkataba

Hivi Tanzania hii mpaka lini na CCm? Wenye macho kuweni makini na serikali hii, vinginevyo sisi pamoja na vizazi vyetu tutajuta na vizazi vyetu vitatulaumu. SHIME!
 
ni kundi dogo na la watu wachache sana ambalo limeamua kututawala linavyotaka, theoretically linaonekana lina maguvu but practically they are powerless before the eyes of the masses once they determine to tell the local exploiters and l oppressors, 'enough is enough', then they will have to go.:A S kiss:
 
:faint: Acha usamaki wewe kuna mtu aliye zaliwa anaijua kazi,watu wote walipata uzoefu baada ya kuaajiliwa ,inaonekana kova ni shemeji yako ndio maana umesema hivyo .angalia nn mustakabali wa nchi hapo baadae!
 
well twendeni tuwatafute wale wajumbe wetu wa mabaraza ya katiba tuhakikishe mamlaka hii ya Rais kufanya kila kitu atakavyo yanakomeshwa once and for all. Hamkumbuki yule babu aliyesema sharia za nchi hii zimetungwa zikiamini kuwa maris wote watakuwa kama Julius? Tumeshaona watatu na wote si waoga kama Julius so tuandike sharia zote upya ili yale tuliyoandika tukitaraji Julius ataishi milele tuyaondoe.
 
ha ha ha saidi mwema, kova, na aliyemua mwangosi..kazi mnayo ila mshukuruni Mungu sana
Watanzania awajawa na maamzi ila wakibadilika iko siku mtazikimbia ofisi zenu
 
This is disgusting. Kinachoendelea hapa TZ ni kwamba hii serikali ya ccm imeshatuona sisi wananchi ni wapuuzii tu na hatuwezi kuwafanya lolote, wameshaona hata wakituchomeka vijiti HATUWEZI kuwafanya lolote...

Pia, na sisi waTZ tumeendelea kuwa mazuzu mno na wapuuzii tu kwa kuendelea kuwaachia hawa mbwea kuendelea kututawala. Inatupasa tuwatoe madarakani kwa nguvu hawa manyang'au....

Chunga kauli zako,lete points za msingi kama huna kaa kimya hutoulizwa
 
Sifa kubwa ya kuongezewa mkataba ni kwamba anaujasiri wa kuuwa.
kingine anafanya kazi kwa vimemo toka Lumumba.
pia ni kada mwaminifu wa CCM.!!

Utamaliza maneno yote ila mwambie dj alete cd ya ushahidi alioupata soweto
 
Ni kwa mujibu wa habari kutoka magazeti mbalimbali leo asubuhi. Inadaiwa kuwa Ikulu imemwongezea mkuu wa jeshi la police nchini IGP Said Mwema muda wa utumishi serikalini baada ya muda wake wa awali kumalizika.

My take:
Inaonekana IGP amefanya kazi nzuri ya kuidhibiti CHADEMA katika harakati zake.

================
Kutoka kwa members wengine:
================

Hapo hakuna ufanisi ni ushemeji uliowekwa mbele, hao wawili(kova&kamuhanda) wameongezewa ili kubalance story.
 
Pia nawashangaa wale wasio amini kuwa jk atajiongezea muda wa kukaa ikulu beyond 2015, kuthibitisha hili alimtuma Lipumba mzee wa kuokoa jahazi uchaguzi wa 2010 kutest upepo kuwa ametonywa kuwa jk ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa ikulu.
 
Chunga kauli zako,lete points za msingi kama huna kaa kimya hutoulizwa

Join Date : 21st March 2013
Posts : 38
Rep Power : 321
Likes Received 0
Likes Given 1

Sijibizana na watoto ambao bado vifuani wana masalia ya maziwa ya mama zao na ukiwasogelea kwa karibu wananukia hayo maziwa.....
 
Maskini Jeshi la Polisi! Nawahurumia hawa jamaa kwa kuwa wao hufanya kazi kwa amri kama mashine. Nina uhakika kuna polisi wengi tu ambao dhamira zao zinawasuta kwa kile wanachotumwa kutekeleza na CCM Lakini inabidi wafanye kwa kuwa jeshi huendeshwa kwa amri.Ipo siku wataamua kuzitii dhamira zao.Ikiwa kweli IGP atakuwa kaongezewa mkataba; Lengo litakuwa ni ili Atimize lengo maalum.Pengine kuisaidia CCM katika mikakati yenye utata.Mungu ana uwezo zaidi ya wote.Hakika atatunusuru tu.

Ndugu betlehem hata kanisani kuna utaratibu kwa hiyo huku polisi wanafanya wanachoambiwa na wasipo fanya chamoto watakiona... Kazi ya polisi ni KUTII AMRI NA SIYO KUCHAMBUA LIPI ZURI NA LIPI BAYA......... Hiyo kazi wanasaidiwa na watu wenye akili timamu zaidi
 
Mimi nadhani kuna maslahi binafsi hapa. kwanza, CCM wamefanikiwa kulitumia jeshi la polisi ili kupambana na harakati za CHADEMA. Pili, JK anajali maslahi ya "jamii yake ya karibu"..

Kimsingi, ni kwamba baadhi ya watanzania kwa sasa tunauwezo wa kupambanua kabla ya kutoa maamuzi...
 
Kwan kuna tatizo gan akiwaongezea mda watu anaowatrust???mlitaka amuweke mtu mpya asiemjua?

Mbona hata mkapa alimuongezea muda wa utumishi jenerali robert mboma???sasa chaaajabu nini kwa JK???acheni wivu wa kike jamani!!!
 
Back
Top Bottom