salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Serikali ya aina hiyo haipatikani chini ya mbingu mimi nawashangaa sisiem kutumia rungu kuuwa inzi hakuna upinzani hapa wa kuleta serikali yenye uwezo nusu ya hii ya sasa pamoja na ubaya wk woteMkuu kwa hatua iliyofikia, ni wakati muafaka kabisa kwa wananchi sasa kusema tunataka serikali adilifu ambayo haitatumia vyombo vya usalama kuhujumu nchi bali wataviacha vyombo vya usalama visimamie maslahi ya Taifa, raia, na ustawi tena kwa kufanya kazi kwa uhuru na kuzingatia weledi.Zaidi ya hapo; nashindwa kupata picha halisi ya hatima ya nchi hii kwa jinsi mambo yanavyoenda.