IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

Mkuu huyo mzee umemjuaje au ulishwai kuwa mbia wa hii deal?

Nawaza tu.
Nitarudi
 
Wakamatwe na washughulikiwe hao wahuni huu uovu wao hauvumiliki hata kidogo.
Poleni wafiwa na wahanga wote
 
Ni kweli kuna kila dalili ya suala la kiimani nyuma ya hawa wauaji.

Serikali isipojipanga mapema hawa watu wataleta madhara makubwa sana na sioni dalili ya hawa watu kusarenda bila mikakati mikubwa sana.
Wanaonekana kwa kweli wamejaa huko Ikwiriri na nchi nzima kuanzia vijijini mpaka mijini. Kwa sasa kuna makundi yanayojifanya yanaimani sana za kidini na hayajali uhai wa wale wasiowaunga mkono.

Serikali itumie mfumo wa ulinzi wa Rwanda au Israel.
Ambapo jeshi linatumika sana kupata information na pia linashirikiana na polisi kulinda usalama wa nchi.

Tanzania tuna majeshi mengi sana lakini cha ajabu watu wa chache wanapora silaha na wanajificha porini na silaha zinatumika kuangamiza maisha ya watu.

Tujiulize kwa nini migambo hawaajiriwi na vijiji kama walinzi kama enzi za awamu ya kwanza ya Mwalimu.

Rwanda polisi na Jeshi wanashirikiana kwenye ulinzi kwa kupeana muda.
Mchana polisi wanafanya kazi na usiku Jeshi linaingia mtaani. Nchi inakua shwari kabisa.

Nchi zote ambazo zina watu wenye imani za kuua ua watu kwa ajili ya kujenga hofu zinazibitiwa kwa mfumo wa ulinzi unaofanana na ule wa Rwanda, Israel,Libya enzi za Gadaff na Iraq enzi za Sadam Husein.
Ni mfumo wa jeshi kuzibiti maeneo wakati wa usiku na kutumia zana kubwa na za kisasa kuwatafuta wahalifu.

Pia mara nyingine mauaji kama hayo wanasiasa hua hawakai siriasi kuyatokomeza kwani ni moja ya matukio ya kuhamisha watu kwenye mijadala mipana ya kuzungumzia umaskini wao na haki zao. Wanabaki wakijawa na hofu kubwa.

Lakini ninaamini kuwa bado hatujaamua kukaa na kufikiri vya kutosha namna ya kuwatokomeza hao majangili wenye viashiria vya kigaidi.

Siamini kuwa hatuna ndege za kijeshi zenye uwezo wa kutafiti na kujua kambi zao zilipo. Hao watu kwa vyovyote wanafanya mafunzo ya kijeshi.

Kwa kweli inabidi amiri jeshi mkuu abadili mfumo wa ulinzi ili doria zifanywe na majeshi yote kwa kubadilishana muda wa kazi kwa sababu polisi wakati mwingine uchache wao unawafanya wawe wanazidiwa maarifa kutokana na kufanya kazi wakiwa wamechoka. Mchana kutwa wanakimbizana na vibaka, wafungwa mahakamani na doria mabarabarani ,mara kukamata mabodaboda n.k. then wanafanya doria tena usiku. Ni wazi kuwa watakuwa wamechoka kiakili na kimwili.
Lakini kama wangekua wanasaidiana wanajeshi na kigambo wakati wa usiku ulinzi ungekua ni jukumu la wanajeshi. Polisi wangekuwa wanavua uniform na kuingia mtaani jioni kusaka taarifa za uhalifu.

Ni muda mrefu tangu hawa wauji wameanza lakini bado hawajakata tamaa mana inaonekana mizizi yake haijawahi kuguswa.

Na hili la kutangaza zawadi nalo pia sio ishu mana kuna watu wataanza kuropoka kuwa wameanza kazi ya kuwasaka hao majangili kwa lengo la kupata fedha hizo matokeo yake wataambulia kuuawa.
Cha msingi ni kuweka intelijensia ya uhakika hata ya kununua na kuwalipa kimya kimya kwa mikataba maalum kama wanavyofanya CIA na FBI.
Hapa hakuna swala LA imani, Hapa ni swala inaonesha kumepita dhulma kutoka serikalini /chama dhidi ya wananchi, lazima au ni usalama WA taifa wanajambo lao wanapanga ila wanatafuta pakuanzia.wamefanya matukio mengi kama haya Zanzibar na sehemu nyengine za Jamhuri.
 
Najaribu kujiuliza tu mauaji ya Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga kwa viongozi na maeneo mengine kwa Jeshi la Polisi yameanza baada ya Mashehe wa Uhamsho wa Zanzibar kutiwa ndani kwa kesi za ugaidi.

Je Kuna uhusiano wowote wa hawa Mashehe wa Uhamsho na mauaji hayo??

Mauaji ya leo ya Traffic wawili na kuchoma gari lao na pikipiki ndiyo kabisa limekuwa very complex.

Na ajabu traffic wa kike ameachwa!!

Kuna nini zaidi ktk haya mauaji?!?
 
Kuna jambo lilifanyika mkoani mwanza mwanzoni mwa mwaka Jana likihusisha makomandoo. Walivamia na kuua kila aliyekuwa kwenye Yale mapango.

Makomandoo walifanya jambo la namna hiyo hiyo kwenye mapango ya amboni mkoani Tanga.

Kumbukumbu kidogo nilizonazo ni kwamba, wale waliovamiwa na kuuwawa ktk mapango ya mwanza walibainika baada ya raia wema kupata wasiwasi juu mienendo ya watu hao na kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi wakati huo kama sikosei bwana siro akiwa mkuu wa polisi mkoa wa mwanza, japo haikutangazwa lakini ukweli ni kwamba jeshi la Polisi lilipojaribu kuwavamia watu hao mapangoni lilizidiwa nguvu kwa kila namna ndipo makomandoo wakapelekwa.

Makomandoo walipofanikiwa kuwateketeza wanamapango wa mwanza wakapelekwa na na kutekeleza uteketezaji kwenye mapango ya amboni tanga.baada ya hapo hali ikawa shwari utulivu ukatamaki na mambo hayo kusahaulika.

Kama sikosei, wakati wanamapango wa mwanza wanavamiwa walikua hawajafanya jambo lolote la uharifu, japo walipochokonolewa ikakutwa walikua na siraha nzito nzito na uwezo mkubwa wa kuzitumia kiasi cha vijana wa bwana siro kuzidiwa. Na kwamba baadhi ya watu waliokutwa na kuuwawa huko walikua na asili ya Pakistani.

At least wale wa amboni najua waliisha anza kufanya mauaji ya apa na pale.

Nachojiuliza je, jeshi la polisi liliendelea kufuatilia mienendo ya wanamapango, walikua na nia gani , ni wakina nani? Ni marafiki wa nani ?

Usijekuta mikakati iliyokuwa inapangwa mapangoni ndio inatekelezwa leo ikwiriri.
Wakati ya mwanza yanatokea Siro hakua mwanza,alikuwa polisi HQ kama sikosei
 
Wakamatwe na washughulikiwe hao wahuni huu uovu wao hauvumiliki hata kidogo.
Poleni wafiwa na wahanga wote

Kweli wauliewe wote ... kwa mujibu wa mtukufu wetu tuliyeletewa na mungu.... akisema amesema mungu...
My god(sio wa mtukufu wenu)...
 
nakuelewa mkuu can you tell us more?
Najaribu kujiuliza tu mauaji ya Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga kwa viongozi na maeneo mengine kwa Jeshi la Polisi yameanza baada ya Mashehe wa Uhamsho wa Zanzibar kutiwa ndani kwa kesi za ugaidi.

Je Kuna uhusiano wowote wa hawa Mashehe wa Uhamsho na mauaji hayo??

Mauaji ya leo ya Traffic wawili na kuchoma gari lao na pikipiki ndiyo kabisa limekuwa very complex.

Na ajabu traffic wa kike ameachwa!!

Kuna nini zaidi ktk haya mauaji?!?
 
ktk hoja zangu niligusia kwamba hawa wauaji lengo lao is to make a political statement
Najaribu kujiuliza tu mauaji ya Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga kwa viongozi na maeneo mengine kwa Jeshi la Polisi yameanza baada ya Mashehe wa Uhamsho wa Zanzibar kutiwa ndani kwa kesi za ugaidi.

Je Kuna uhusiano wowote wa hawa Mashehe wa Uhamsho na mauaji hayo??

Mauaji ya leo ya Traffic wawili na kuchoma gari lao na pikipiki ndiyo kabisa limekuwa very complex.

Na ajabu traffic wa kike ameachwa!!

Kuna nini zaidi ktk haya mauaji?!?
 
Mkuu huyo mzee umemjuaje au ulishwai kuwa mbia wa hii deal?

Nawaza tu.
Nitarudi
hapana siwezi kua sehemu ya hao madhalimu. ni baada ya kutafakari na kupitia maandiko mbalinbali yanayohusu janga hili
 
mkuu uko sahihi, nilichojaribu ni kutoa mawazo and not otherwise. wataalamu wetu wanapaswa kufanyia kazi all these ideas and getting other facts

When it comes to intelligence esp. spying, specifically police they have millions of ideas and modern tactics za kuwakamata wahalifu, but what it seems all ideas hadi sasa hazijasaidia sana.. Mm nilifikiri ungesema hivi kulishauri kwa uhalisia jeshi letu..
1: Labda ukifika Mkuranga au Kibiti au Rufiji au kokote unakojua genge la wahalifu hawa au chain yao ili polisi ianzie hapo..

2: Au useme Polisi iende wapi au kwa nani kokote pale imhoji na kumshika nani kwa upelelezi sbb hapo ni actual sio hisia tena

3: Pamoja na ideas zako nimesema haziko kabisa kama mtu aliyefanya uchunguzi au kujua mtu yeyote yule, so kufanya kazi hasa ya kukamata majambazi kwa hisia ni ngumu kidogo, hizi kazi you need to work on real, actual and true intelligence information ili kuwakamata hawa wauaji, sio kwa hisia tu..

4: Au ungesema wapi chanzo au mtu au mastermind wa huu uhalifu atleast yuko wapi specific location ili iwe rahisi kwa polisi wetu.. Usalama ni wetu sote.
 
chief, i wish i could have those specific details na kuzifilisha kunakuhusika but to my limit of understanding police needs information whether they are too general ir specific.na sidhani police au mtu mwenye kuhitaji msaada akawa na responce ya aina yako. lakini pia inategemea na ufahamu wako!!! kuna sentence kwsko unaweza kuona iko general ila kwa baadhi ya watu ikawa specific na wakaunganusha dots. be careful
When it comes to intelligence esp. spying, specifically police they have millions of ideas and modern tactics za kuwakamata wahalifu, but what it seems all ideas hadi sasa hazijasaidia sana.. Mm nilifikiri ungesema hivi kulishauri kwa uhalisia jeshi letu..
1: Labda ukifika Mkuranga au Kibiti au Rufiji au kokote unakojua genge la wahalifu hawa au chain yao ili polisi ianzie hapo..

2: Au useme Polisi iende wapi au kwa nani kokote pale imhoji na kumshika nani kwa upelelezi sbb hapo ni actual sio hisia tena

3: Pamoja na ideas zako nimesema haziko kabisa kama mtu aliyefanya uchunguzi au kujua mtu yeyote yule, so kufanya kazi hasa ya kukamata majambazi kwa hisia ni ngumu kidogo, hizi kazi you need to work on real, actual and true intelligence information ili kuwakamata hawa wauaji, sio kwa hisia tu..

4: Au ungesema wapi chanzo au mtu au mastermind wa huu uhalifu atleast yuko wapi specific location ili iwe rahisi kwa polisi wetu.. Usalama ni wetu sote.
 
kwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
Sio suala la watu, alichosema mtoa mada ni watu wasiozidi watatu, ila wanamsaada mkubwa wa kifedha na inawezekana kutoka nje ya nchi. Usishangae wapo hapa Dar- eneo pana. Wanafanya haya mauwaji kuhalalisha matumizi ya fedha wanazopewa.
Kwa hali inavyoendelea wanaonekana wanafanya kazi nzuri kwa wale wanao watuma. Jamaa ametoa "hint" muhimu sana.
 
Endeleeni pia kuipanda hii Mbegu inayoitwa "imani flani" yatakayojiri zaidi tuwe tayari pia kuyapokea. Uzuri natambua Record bado mnayo kwa yaliyotokea Geita kuhusu kuchinja.
sijui kwanini una rule out fikra ya imani, na kwa zama hizi una reference ujinga wa Geita, lazima wewe ni wa generation iliyopita. Unasahau kuwa siyo kila unachokula umekiandaa nmwenyewe na kuwa siyo kila ninachokula kinaandaliwa kwa iman yako.
 
Heri wewe uliye Generation ya Kesho kutwa. Siku ukijua tafsiri rasmi ya neno "ujinga" pengine nitajifikiria kufanya urgument na wewe. So far you did not read btn the line, from what I wrote. You better slap your asshole.
 
let us go slowly mkuu
When it comes to intelligence esp. spying, specifically police they have millions of ideas and modern tactics za kuwakamata wahalifu, but what it seems all ideas hadi sasa hazijasaidia sana.. Mm nilifikiri ungesema hivi kulishauri kwa uhalisia jeshi letu..
1: Labda ukifika Mkuranga au Kibiti au Rufiji au kokote unakojua genge la wahalifu hawa au chain yao ili polisi ianzie hapo..

2: Au useme Polisi iende wapi au kwa nani kokote pale imhoji na kumshika nani kwa upelelezi sbb hapo ni actual sio hisia tena

3: Pamoja na ideas zako nimesema haziko kabisa kama mtu aliyefanya uchunguzi au kujua mtu yeyote yule, so kufanya kazi hasa ya kukamata majambazi kwa hisia ni ngumu kidogo, hizi kazi you need to work on real, actual and true intelligence information ili kuwakamata hawa wauaji, sio kwa hisia tu..

4: Au ungesema wapi chanzo au mtu au mastermind wa huu uhalifu atleast yuko wapi specific location ili iwe rahisi kwa polisi wetu.. Usalama ni wetu sote.
Heri wewe uliye Generation ya Kesho kutwa. Siku ukijua tafsiri rasmi ya neno "ujinga" pengine nitajifikiria kufanya urgument na wewe. So far you did not read btn the line, from what I wrote. You better slap your asshole.
 
enough is enough. Tuko kwenye final touches muda wowote natua bongo na vijana wangu 12 highly trained in combat na tutatumia advance latest and highly sophisticated military weapons.

Tukifika bongo tutadondoka na maparachute porini kibiti. Kibano tutakachokitembeza itakuwa historia. We will use scorched earth policy and counter surgency technique.

The impact will be devastating!
really?!
 
Back
Top Bottom