IFM sio Chuo???

IFM sio chuo kikuu kwa taarifa yako....hiyo ni INSTITUTE au taasisi tu..inatoa NON DEGREE PROGRAMMES...ukisoma pale elimu yako haitambuliki kwa kiwango cha degree ULIMWENGUNI,,kama unabisha kisome kitabu cha T.C.U kurasa za mwanzo mwanzo kabla ujaingia kwenye mabainisho ya couz za vyuo...USIKONDE PIGA MSULI TU,,,,ata mwana FA alisoma hapo...BEST WISHES,,,KARIBU UDSM
Una maana gani unaposema " NON DEGREE PROGRAMMES"?.... Fanya uchunguzi uje na taarifa sahihi.
 
SIO CHUO 100%...IFM inatoa non degree education,,elimu yake haitambuliki kimataifa,,,soma kijitabu cha T.C.U kuna vyuo lukuki tu ambavyo vinatoa nono degree levels lakin watu waliviomba bila kujua,,,KARIBU UDSM

Una maana gani haitambuliki kimataifa? Kwamba ukisoma IFM undergraduate ukiapply for postgraduate studies huwezi pata nafasi au kwamba huwezi kufanya kazi ya kuajiriwa sehemu nyingine duniani? Fafanua ili upate mchano zaidi...
 
IFM n chuo kizuri sana especially in finance...ila kila alieshindwa elimu(kilaza) anakimbilia huko ndo maana inashuka hadhi,pia rushwa zimezidi pale yan elimu ya kununua.
 
Huu mjadala wa chuo gani kizuri na kipi kibaya unachekesha sana. Binafsi nimesoma Tumaini na nilianza kazi pamoja na vijana wenzangu wengi tu kutoka hivyo bora vilivyotajwa hapo ju na mmoja wetu (UDSM, Mzumbe). Sina undgu na bosi yetote pale ila kwakujituma, hivi sasa mimi ni bosi wa wale vijana wenzangu tulioanza kazi pamoja. Je, niidharau degree yangu kwasababu inatoka Tumaini? Hivi, nikipata First Class ya Tumaini au IFM au SAUTI nitakuwa sawa na aliyepata Gentleman ya UDSM/Mzumbe/etc? Hivi sasa ninapokea wanafunzi wengi kutoka vyuo hivyo Havard za Tanzania na wengine kutoka vile ambavyo wenzetu mliobarikiwa mnaviita Vya Kata na kusema kweli wapo wanaonielewa haraka na wapo wasioelewa kabisa japo wanatoka vyuo vyote. Je, mchango wa chuo alichosoma mtu hapa ni upi katika utendaji kazi wake? Je, tumefikia kiwango cha kuwahukumu watu kwa vyuo walivyopitia? Hatuoni kuwa tunawakatisha tamaa wale wanaowekeza katika elimu? Binafsi ninaamini kuwa UDSM kumejaa walimu wengi sana na wenye good qualifications ila wengi wao wamekuwa wanasiasa. Kwa ujumla, walimu wengi, haswa ktk vyuo vyenye majina kama UDSM, siku hizi hawafundishi kutokana na kukata tamaa na ugumu wa maisha. Wanachangamkia zaidi projects za research. Tusidanganyane, hakuna chuo ambacho ni kizuri katika kila fani na hakuna chuo ambacho ni kibovu katika fani zote. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. IFM ni chuo kizuri kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma na kibovu kwa wanafunzi wanaokenda kutalii. A bad writer always blames his/her pen!
 
Hahaha nimekua nikichek hii conversatn bla kutia neno lakn vijana wanakashifu xana.... "Kama ifm degree yake haitambuliki kimataifa hw comez mtu anaenda kusoma masters UK o USA alaf anakubaliwa? N hw comes TRA wajazane wahasibu kutoka TIA n IFM! Ukiwa unauelewa makin hauwez kuargue vi2 kwa stahil hyo ya kukashfu!
 
huyo jamaa nimemsoma ni sawa na anawaza kwakutumia masaburi hawazi mbali ana urojo kichwani na inawezekana kabisa hata boss wake ametoka kwenye hivyo vyuo anavyovidharau

mi namshangaa sana.kwan ukienda kuomba kazi unaulizwa ulisoma chuo gan au unaangaliwa kiwango chako cha elimu?!!kama wewe ni bosi ktk kampun fulan so utashindwa kumuajiri muhitimu wa ifm??? jaman tuachen UJINGA.TUONGEENI KAMA WASOMI.
 
unfortunately dats d ugly truth cku hiz ajira esp kwenye makampuni makubwa na nafac kubwa za kaz zinatolewa either kwa kujuana, kwa rushwa o kwa chuo ulichosoma. Mkuu hukumbuki gazet flan lililotangaza nafac za kaz but wakazuia wahitim wa UDOM kuapply, ilileta mgogoro mkubwa mno. Unfair really cause i knw 1 guy in IFM ambae kabobea kwenye IT even i admire th guy. Sema washwahili walishasema samaki m1 akioza bhaasi ni wote. Anyways acha nikae Idle niangalie vimbwanga cause nlikua nshachoka kila cku thread tcu, tcu.:D;)
 
Huu mjadala wa chuo gani kizuri na kipi kibaya unachekesha sana. Binafsi nimesoma Tumaini na nilianza kazi pamoja na vijana wenzangu wengi tu kutoka hivyo bora vilivyotajwa hapo ju na mmoja wetu (UDSM, Mzumbe). Sina undgu na bosi yetote pale ila kwakujituma, hivi sasa mimi ni bosi wa wale vijana wenzangu tulioanza kazi pamoja. Je, niidharau degree yangu kwasababu inatoka Tumaini? Hivi, nikipata First Class ya Tumaini au IFM au SAUTI nitakuwa sawa na aliyepata Gentleman ya UDSM/Mzumbe/etc? Hivi sasa ninapokea wanafunzi wengi kutoka vyuo hivyo Havard za Tanzania na wengine kutoka vile ambavyo wenzetu mliobarikiwa mnaviita Vya Kata na kusema kweli wapo wanaonielewa haraka na wapo wasioelewa kabisa japo wanatoka vyuo vyote. Je, mchango wa chuo alichosoma mtu hapa ni upi katika utendaji kazi wake? Je, tumefikia kiwango cha kuwahukumu watu kwa vyuo walivyopitia? Hatuoni kuwa tunawakatisha tamaa wale wanaowekeza katika elimu? Binafsi ninaamini kuwa UDSM kumejaa walimu wengi sana na wenye good qualifications ila wengi wao wamekuwa wanasiasa. Kwa ujumla, walimu wengi, haswa ktk vyuo vyenye majina kama UDSM, siku hizi hawafundishi kutokana na kukata tamaa na ugumu wa maisha. Wanachangamkia zaidi projects za research. Tusidanganyane, hakuna chuo ambacho ni kizuri katika kila fani na hakuna chuo ambacho ni kibovu katika fani zote. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. IFM ni chuo kizuri kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma na kibovu kwa wanafunzi wanaokenda kutalii. A bad writer always blames his/her pen!

hyo ofic yenu inajishughulisha na utoaji wa huduma gani?
 
acha kujitia moyo wewe..kama unasoma ifm jua kuwa umepotea...afadhali kidogo ungekuwa unasoma tia au iaa ningekuelewa na wala sio ifm..kama unataka kujua ifm wanachaguliwaga wanafunzi wa aina gani nenda kwenye kitabu cha tcu kaangalie cut-off points zao utaona na utajua kuwa ifm wanaendaga wanafunzi waliopata ngapi form 6!!!! Usibishane kitu kama uwezo wako wa kujua mambo mdogo
hakia mungu akili yako ni sawa na mkojo wa asubuhi
 
ile ni institute na weng wanaoenda pale full ubishoo af na pepa zao very simple na best angu yupo pale yaan cjaanza chuo ila maswali nilijibu karibu yote had yeye alishangaa akaniona najua kumbe hakuna kitu pepa yenyewe easy af watu kibao kuna facult inaitwa social protection wamepelekwa na tcu wakat hawakujaza na co wa 2ndround......kielimu ifm ipo chini aisee co kama udsm.sua.mzumbe etc
hiyo akili yako hata ukiisugua na stiliwaya haitangaa kamwe hebu jibu hili 2+2= ?
 
kila mmoja nahesshimu mawazo yake lakini naomba nipate mtu aliemaliza hapo IFM nitamwelewa
 
kila mmoja nahesshimu mawazo yake lakini naomba nipate mtu aliemaliza hapo IFM nitamwelewa na aeleze ukweli. Hauwezi kuelezea maisha ya SUMBAWANGA kama haujaishi hapo. Nahitaji FACTS na UFAFANUZI YAKINIFU
 
[True my NiggA.!? Kuna jamaa yangu m1 nilisoma naye miaka hiyo na yuko hapo IFM matokeo ya semester amepata supp ya account sasa juzi kaniomba nimkopeshe elf 50 wanataka wakamhonge lecture ili awatoe kwenye hiyo supp akadai bila hivyo hatoki..!? Nilimshangaa sana]
Kweli mimi nilimshuhudia jamaa yangu akimpa pesa wife wake apewe lecture kwa ajili ya kurekebisha matokeo yake
 
Data ni kitabu cha tcu ..kaangalie cut-off points zao utajua huku ukilinganisha na vyuo vingine...halafu ukirudi uje na hoja ya kueleweka na iliyo kamili kama hukuelewa au huna hoja piga kimya usichangie chochote!! Nafikiri umenielewa..usikurupuke siku nyingine!
 
Wewe nae piga kimya huelewi kinachozungumziwa hapa!! Nenda kabishane huko kwenye jukwaa la siasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom