IFM sio Chuo???

ifm ni institute of finance management...na inatoa degree..watu hawaji IfM coz hawana ubavu wa ku-survive pale...elim ya pale ni ngumu hata maprofesa wanalijua hilo...pale huwezi survive kwa miaka 3 kama ni mbulula...na kama ukifanikiwa kumaliza afu huna kitu kichwan bas ujue utaishia kwenye GPA ya pass...huo ndo ukweli na ndo mana watu hawathubutu kuomba...watanzania wanapenda mteremko na ifm hamna mteremko
 
Huyu nae sijui anaongea nini?? , IFM ni mteremko average(40%), HUWEZI KUFANISHA NA AVERAGE YA(50%)
 
hahaha unajidanganya..eti social protection ni kozi rahs..we kweli unaropoka bila kufikiria..ile ni coz ambayo imeanzishwa ili kuimarisha na kuboresha hifadhi ya jamii nchin tanzania...ni kozi ngumu na inayohitaji umakin..lazma ujue hesabu ili uweze kufaulu vizur..acha kuiponda..kwanza coz hyo inatolewa IFM tu ndani ya EA na pia Africa inapatikana IFM na kipo chuo kingine GHANA ambacho kinatoa Diploma na certificate ila mwakan wataanza kutoa digree..mastaz yake ni UK pekee...jielewe mkuu usiropoke
 
we ndo unajidanganya...Average ni 40% ndio lakni mziki wa pale si wa kitoto...vilaza kama nyinyi ndo mnaiponda...pale kichwa maji huwezi kuishi

MBUZI KASORO MKIA WEWE NDIE KICHWA MAJI UNAELIA NA AVERAGE YA 40%! IFM HAMNA MZIKI WOWOTE MNATUNGIWA MITIHANI AMBAPO HAMJAFUNDISHWA?? , NYAMAZA KIMYA HUONI HATA AIBU KUSEMA SHULE NGUMU HALAFU AVERAGE NI 40%, , C YA Ifm ni d ya MUCCoBS &SUA, B YA ifm ni C YA MUCCoBS
 
haha hujielewi...uhondo wa ngoma ingia ucheze...tukienda field huwa wanashukuru cz kazi zote tunafanya bila hata kuelekezwa ..hahah wivu na uskute ulisha disko ndo mana unaponda
 
MKUU MIMI SIPONDI HII TAASISI YA USIMAMIZI W Fedha ninachojaribu nikuuambia umma kwamba sio degree zote zinatolewa kwenye vyuo vikuu nyinine zinatolewa kwenye taasisi kama IFM,ISW, NA NIT
 
MBUZI KASORO MKIA WEWE NDIE KICHWA MAJI UNAELIA NA AVERAGE YA 40%! IFM HAMNA MZIKI WOWOTE MNATUNGIWA MITIHANI AMBAPO HAMJAFUNDISHWA?? , NYAMAZA KIMYA HUONI HATA AIBU KUSEMA SHULE NGUMU HALAFU AVERAGE NI 40%, , C YA Ifm ni d ya MUCCoBS &SUA, B YA ifm ni C YA MUCCoBS

kweli mwendawazim mwendawazim tu...ivi kweli unalinganisha ifm na Muccobs?bora ungesema mzumbe ningekuelewa kaka...
 
wewe huna akili mtu apelekwe kozi ambayo hajachagua ni sahihi kweli?? Ila hii ni kutokana na taasisi hii kutokuwa makini

TCU hawawezi mpeleka mtu chuo hajachagua...huyo aliyekuambia kua amechaguliwa ifm afu hakuchaguliwa anakudanganya,huyo anatafuta kick ili aonekane genius...
 
Ndo naingia mwaka wa tatu hapo ifm...semeniiiiii ila msiopenda core subject ya kurudiasha mwaka ndo mnaopaponda..chuo cha usimamizi wa fedha.
 
Sema kina mapungufu njoo tuone mnaomaliza mwaka wa tatu mpo wangapi..utajifunza kitu siku moja..si mnachekelea kuchaguliwa wengi..
 
wewe huna akili mtu apelekwe kozi ambayo hajachagua ni sahihi kweli?? Ila hii ni kutokana na taasisi hii kutokuwa makini

unasema chuo cha usimamizi wa fedha hakiko makin na wakati mwaka huu kuna mwanafunzi wa IT amegundua system flan ivi adi TBC1 wakamfuata chuo pale kumhoji na wakaahidi kumpa ushirikiano ili aitangaze...afu still unasema eti taasisi haiko makin...we ni mjinga kati ya wajinga dunian
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom