IFM alumni...!!!!

Mahafali ya 37 ni Mwaka 2011.Dogo umemaliza na mke wangu kama ulisoma accounting
Nashukuru kwa kunikumbusha, mimi nilikua BTX, unaniita dogo una umri gani mkuu?
 
Ali retire 2013 km sikosei!
 
kuna jamaa alikuwa anafundishaga property & percuniary insurance..
anachofundisha na anachotoa kwenye mtihani ni kama malaika & majini!

halafu lilikuwa linaona sifa tu kutugawia ma-supp kama faza xmas!
Hahaahahahaaaaa.. malaika na majini ni vitu viwili tofauti kabisaa
 
kuna jamaa alikuwa anafundishaga property & percuniary insurance..
anachofundisha na anachotoa kwenye mtihani ni kama malaika & majini!

halafu lilikuwa linaona sifa tu kutugawia ma-supp kama faza xmas!
malecturer wa pale ni wana sifa balaa, almost wote!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…