kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr