Ifike muda habari za vibustani vikomeshwe...

Ifike muda habari za vibustani vikomeshwe...

Popote ulipo Vaislay, hebu njoo uusome huu waraka wa Khantwe kwa babu ODM. Kazi ni kwako.....

Ukishausoma, ukam zis wei chapchap sana. Tena ukuje without ili tusipoteze muda.

sikutaki tenaa..tema mate barabarani yakikauka usiiite tena
 
Last edited by a moderator:
Popote ulipo Vaislay, hebu njoo uusome huu waraka wa Khantwe kwa babu ODM. Kazi ni kwako.....

Ukishausoma, ukam zis wei chapchap sana. Tena ukuje without ili tusipoteze muda.

Mmmh wivu sina ila roho inaumaa
 
Last edited by a moderator:
mwanume anapolala si kwamba anakupenda au moyo wake upo na wewe ..... mwanaume moyo wake unalala pale anapopenda.. hilo nikurekebishe kurudi kulala kwa mkewe ni kautaratibu tu........
back to topic wanaotembea na waume za watu na kuharibu familia yake ni ubinafsi na mimi huwa naona ni unyama hasa kama atakuwa na mtoto au wtoto,... ila kama anatembea nae kwa starehe na mapenzi sawa kabisa waendelee tu ....

MANENO YANGU SI SHERIA..........

Mtoto una akili kama Flora Mbasha.
 
Back
Top Bottom