Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

MS kubali awamu hii JK kachemsha na huko tuendako ni kubaya zaidi na atazidi kuchukiwa zimwi la Dr. Slaa litamuandama sana. Aache blah blah apange mipango kazi ya kuokoa uchumi wetu badala ya kujileeza kwenye fitna na watu wake zaidi.

dk slaa akiwa rais, inaonyesha wapinzani wake wengi watakuwa Uhamishoni
 
Pasco don't be a kid!
Usije ukalogwa ukampelekea Rais yeyote mkono kuna siku utakwenda ahera bila matarajio. Kama Dr. Slaa angepewa mkono na Rais akakataa kupokea ndipo ungeandika hii thread na ingekuwa breaking news hata BBC wangeirusha. Vinginevyo usitupotee nafasi hapa JF kwa thread ya kitoto. Mods please remove this thread! Rais analindwa kwa hiyo akitaka kusalimiana na watu then protocol has to cover him buddy?
Pasco nilikuwa namuona yupo busy nikahisi huu msiba umemgusa kumbe lengo la kutoka Dar mpaka Ifakara sio kuzika ni kupiga picha ya JK akisalimiana na Dr. Slaa?
 
Gamba la Lowassa linamsumbua.
 
Pasco,

..inaelekea na wewe ulikuwepo kote huko Tabata na Kilombero ukivizia kuona kama JK na Slaa watasalimiana.

..kama JK na Slaa wana nia ya kusalimiana basi watafute muda na mahala muafaka wa kufanya hivyo. pia wawe na sababu genuine za kufanya hivyo.

..kwa mtizamo wangu wakati mzuri wa JK na Slaa kumaliza tofauti zao ulikuwa ni kipindi kile cha uchaguzi ambapo MDAHALO uliitishwa lakini JK akakimbia.
 
With all due respect brother Pasco, ninachokiona kwenye sred yako na kinachonichekesha ni kwamba (nadhani bila wewe kujijua) umefafanua kwa upana sana na hisia ni namna gani kukosa kwako ile picha ya Dr Slaa akimsalimu/kusalimiana na dr Kikwete...
Sitaki kuamini ndio lililokupeleka Moro hlo mkuu wangu
 
mmh
mbona nimemwona Mbowe akisalimiana na Jk? labda wamesalimiana wakati wewe ukiwa na mishemishe nyingine so hukuweza kuona tukio halisi.

si amesema hapo kuwa kaongea na Dr Slaa na akampa sababu ya kutosalimiana na Rais? Mi naona bado kuna kahali fulani ka kutunishiana misuri. Kwa kawaida ama ni jadi yetu waafrika kusalimiana katika misiba. Na mara nyingi pia huwa hatuangalii zaidi vyeo.. Hiyo picha ya hawa jamaa inatupa fundisho gani? 2015 bado kitambo kirefu, chochote chaweza kutokea!
 
Slaa mzee wa visasi, chuki na fitna..
Chadema imejaa wanasiasa wenye misimamo ya ajabu sana. Hana tofauti na Ben Saanane kwa visasi hajambo, muone tu mtanashati na kutabasamu lakini ni balaa.

Hadi sasa naskia hajawahi kukaa meza moja na John Heche kwa kuwa anaamini huyu kabebwa. Huyu ni bingwa wa visasi tangu chuo hasa kwenye masuala ya siasa na ni ngumu sana kumshtukia. Kama Dr.Slaa kafanya hivyo siwezi kushangaa. Watu kama hawa wakishinda urais wa nchi kuna watu watanyang'anywa uraia
 
JF bana, watu watatu tu ndo mnajibizana na kujaza thread

Ni bora kama huna jipya utulie tupate mawazo ya wengine. Mwishowe mnatoka nje ya mada maana hamna jipya.
 
Pasco nilikuwa namuona yupo busy nikahisi huu msiba umemgusa kumbe lengo la kutoka Dar mpaka Ifakara sio kuzika ni kupiga picha ya JK akisalimiana na Dr. Slaa?

Duh, inawezekana baada ya kwenda kuzika akawa katika harakati za kutafuta nafasi ya kupata picha pia. Haimaanishi lengo lake lilikuwa ni kutafuta picha tu badala ya kuzika.
 
Askofu Mwingira kashasema J.Kikwete analala na maiti makaburini na kuvaa Pete za majini,kwa hiyo unataka DR. Slaa ajipeleke kichwakichwa kumpa mkono your roving ghost president!?
 
Duh, inawezekana baada ya kwenda kuzika akawa katika harakati za kutafuta nafasi ya kupata picha pia. Haimaanishi lengo lake lilikuwa ni kutafuta picha tu badala ya kuzika.
Ndo lengo lake huoni kaumia nyongo baada ya kukosa picha mpaka kaja kuianzishia thread?
 
Kwa ufahamu wangu ni kwamba sehemu yoyote ile mabayo rais anakuwepo kunakuwa na itifaki, inayoongoza shughuri zote za rais. Sasa kama walioandaa mazingira ya kuwepo kwa rais walimweka Dr Slaa mbali na rais, wewe ulitegemea nini? Najua habari yoyote inayomuhusu Dr Slaa itakuzwa na watu hata kama ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom