Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Safi sana SLAA rais wa wananchi..ccm waache wauane wenyewe na polonium zao huko.sio lazima kushikana shikana mikono
 
Wanabodi

Kwa wale tuliofika Ifakara tumeushuhudia umati na divesity ya vyama iliothibitisha Regia hakuwa proponent wa politics za hostilities ndio maana alimpigia kampeni Diwani wa CUF na yeye aliungwa mkono na wapinzani.

Kitendo cha JK kushiriki kwenye msiba huu kwa nguvu alioshiriki nayo, siamini ndio alimpenda Regia kihivyo kiasi cha kwenda Tabata na baadae akahudhuria maziko mpaka makaburini!.

1. Hapo kwenye RED unamaanisha akifa mbunge leo ambaye alikuwa akiamini katika siasa za chama chake tu, iwe CDM,NCCR,CUF au CCM raisi au watu wa kada mbali mbali hawatahudhuria???. That is VERY POOR Thinking..Mr. Pasco.

2. Kwenye GREEN, hivi kwanini una roho mbaya kiasi hicho?? Kwa hiyo unadhani kwamba JK hana utu wa kuweza kushiriki katika Msiba ambao ni kama wa kitaifa??

3. Mwisho, Mr. Pasco naona umeweka unafiki wako wazi, huna lolote..grudges ndizo zinakusumbua..wewe unatamani migogoro tu....''Pole!wenzio ndio tunasonga hivyo...Wanaofahamu Kiswahili vizuri wamenielewa.'' Last Post at JF by Regia Mtema, R.I.P
 
Docta original hutoa majibu ya kisomi. Huyo wenu feki kazi kuzika huku nchi inayumba. Siyo lazima kila msiba aende!! Anapenda misiba!.
 
wakisalimiana sukari na petroli bei itashuka??

this post is a mere gossip

Pasco hawezi kuona hayo, akili yake ilikuwa inawaza JK asalimiane na Slaa ili kesho apate habari. Vipesa vya Lowassa vinamsumbua sana mpaka anapitukia mipaka!!!!!!
 
Pasco don't be a kid!
Usije ukalogwa ukampelekea Rais yeyote mkono kuna siku utakwenda ahera bila matarajio. Kama Dr. Slaa angepewa mkono na Rais akakataa kupokea ndipo ungeandika hii thread na ingekuwa breaking news hata BBC wangeirusha. Vinginevyo usitupotee nafasi hapa JF kwa thread ya kitoto. Mods please remove this thread! Rais analindwa kwa hiyo akitaka kusalimiana na watu then protocol has to cover him buddy?
 
sioni tatizo lolote la Dr Slaa kutosalimiana na JK...huyu JK aliiba kura ndio hilo kila mtu anajua hata tume ya uchaguzi wanalijua hili na wanajua walichofanya (madudu).lakini ninavyoona hii sio sababu iliyosababisha Dr Slaa(Rais) asisalimiane na JK.

Slaa alishamjibu Pasco
 
Back
Top Bottom