Hahaha. Nimetoa hilo kejeli kuhusu kiingereza maana naona tayari wameshatoroka.Huo mkwara kuhusu kingereza utasababisha wengi wapite kimya....hehehe!! Maana lugha iliwapiga chenga tangu enzi zileee...
Big up sana Kenya, yeah! Tumewazidi kiuchumi Ethiopia na Tanzania licha ya wao kuwa na raslimali nyingi zaidi yetu ikiwemo idadi ya wau na ardhi kwao ni nyingi.
Kiingereza sio issue, hawapendi kuona ukweli kuhusu Kenya inayo onyesha Kenya is above Tanzania by far with hard facts yenye mtu hawezi pinga, so wanapita kimya kimya.,Huo mkwara kuhusu kingereza utasababisha wengi wapite kimya....hehehe!! Maana lugha iliwapiga chenga tangu enzi zileee...
Big up sana Kenya, yeah! Tumewazidi kiuchumi Ethiopia na Tanzania licha ya wao kuwa na raslimali nyingi zaidi yetu ikiwemo idadi ya wau na ardhi kwao ni nyingi.