Ifaham Kitulo Ranch Makete (CANADA IN TANZANIA)

Ifaham Kitulo Ranch Makete (CANADA IN TANZANIA)

Utaandikaje kitu usichokuwa na majibu nacho, hebu nielekeze mtu anayeweza kunipa detailed information maana nina maswali mengi ningependa kujua kuhusu hiyo sehemu
haya sema , unataka nini?
 
Hakuna eneo dunia ambalo binadamu anaweza ishi lenye nyuzi joto 0,acha uongo
Ahaa, Mkuu wewe sasa ndo mwongo maana mwaka 2010 nilikuwa Sweden ilikuwa - 5 lakini nilishi na mpaka sasa naishi.
 
Hakuna eneo dunia ambalo binadamu anaweza ishi lenye nyuzi joto 0,acha uongo
Scotland huinafika -15 , London huwa inagonga -5 winter ikichanganya.
Huko Russia, Iceland na Nchi nyingine za Ulaya Mashariki ni mpaka -25 inafika na Watu wanaishi, tembea uone.
 
Ahaa, Mkuu wewe sasa ndo mwongo maana mwaka 2010 nilikuwa Sweden ilikuwa - 5 lakini nilishi na mpaka sasa naishi.
Yaani Scotland au hata Newcastle na Leeds kipindi cha Christmas na Mwaka mpya hiyo -5 ni temp ya kawaida tu.
 
Ufugaji wa ng'ombe wa fleckvieh kwa apa Tanzania awapo, maana sijawaoma
 
Khaaaa pazuri aiseee n'gombe wana matank makubwa ya maziwa kuliko was huku daslam kajitutumua anatoa litre tatu
 
Mkuu kwani unafikiri hata mimi na PHD Yangu najua mambo yote? ulipaswa kunielewesha tu
Lugha (hasa neno ulilotumia kufungia sentensi yako "acha uongo") sio mujarabu. Ungeomba kueleweshwa badala ya kukosoa jambo ambalo hulijui. Sasa kati ya wewe na mtoa mada nani mwongo?

Kitulo ni ranch ya taifa iliyo anzishwa mwaka 1963 , Rank hii ipo Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe ambao hali ya hewa ni ya baridi sana na mvua kwa wingi.

Huko kuna ng'ombe wa kisasa walio chukuliwa marekeni na nchi za ulaya ambapo hali ya hewa inaendana sana na nchi hizo.

Huko kitulo kukiwa na joto ni 19c na kukiwa na baridi hufikia 0c.
ng'ombe hao hutoa lita 15 hadi 20.

shamba lina ng'ombe 700 kwa sasa japo shamba lina uwezo wa kuchukua ng'ombe 4000.

Mheshimiwa Mwigulu amefarijika kufika na kuona shamba hilo ambalo kwa muda mrefu lilikua limetelekezwa na serikali.

chini ni baadhi ya picha.

usiniulize maswali zaidi kuhusu kitulo, sina majibu.
Hapa pia ndipo kituo cha ndege wahamiaji toka ulaya na asia na kuna maua mazuri sana pia.

Kaka.
 
Back
Top Bottom