Ifaham Kitulo Ranch Makete (CANADA IN TANZANIA)

Ifaham Kitulo Ranch Makete (CANADA IN TANZANIA)

Nafikili kipindi kile alikuwa nani waziri wa mifugo nimesahau ile miaka 95-2000
 
Hakuna eneo dunia ambalo binadamu anaweza ishi lenye nyuzi joto 0,acha uongo

Kuna sehemu watu wanaishi ukiacha nyanya zilizoiva -tomato mezani asubuhi utakuta zimekuwa ngumu over jiwe ( bora uzihifadhi katika friji uzikute hazijaganda utengeneze kachumbari) na watu wanaendelea na maisha kama kawaida -30 (Minus 30) .
 
Serikali ilitelekeza ule mradi wa ng'ombe. Nikikumbuka miaka ya 1980 hadi 1995 palikuwa na ng'ombe wengi sana. Ila kuanzia miaka ya 1997-2000 ng'ombe wengi waliibiwa kupelekwa mikoa ya kaskazini.
***
Acha unafiki wako! kijana
 
Kama ranch hiyo ilitelekezwa na serikali hao wanaouza maziwa wanapeleka fedha wapi? Wanalipa kodi?
 
Okonkwo jr Natoka Makete tena nyumbani ni kama km 5 kutoka shamba la kituo. Mwezi wa saba na nane asubuhi ukiamuka barafu tele mpaka juu ya paa za Nyumba. Definately hiyo ni below 0 degree. Tunaishi kwa furaha tele. Nikiwa na watoto likizo wanaweka maji kwenye sufuria ya lita kama nne nje ya nyumba, Asubuhi ni barafu......
 
Naambiwa ng'ombe adimu sana huko,kuna foleni za mwaka mzima
 
Mkuu kwani unafikiri hata mimi na PHD Yangu najua mambo yote? ulipaswa kunielewesha tu

Basi mfano mfupi tu nakuwekea......ili siku nyingine ugugo mwenyewe........sawa eeeeh......
 

Attachments

  • image.png
    image.png
    66.2 KB · Views: 91
Tembea uone,wewe hata kusoma napo taabu!binadamu anaishi hata kwenye below 0 degree centrigrade ila kwa namna maalumu!kama makoti,au menginyo!!Nchi kadhaaa zinatokea hayo,Urusi Mojawapo sometimes kuna mpaka -3 degree!!
Kweli binafsi nimewahi ishi mahari baridi mpaka -2 degre ni shida yani mwendo wa makoti tu mkuu,
Hiyo mandhari inavutia mbaya mzee inabidi kuongeza mifugo yaweza pia kua sehemu ya kivutio cha utalii wa ndani
 
Kitulo ni ranch ya taifa iliyo anzishwa mwaka 1963 , Rank hii ipo Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe ambao hali ya hewa ni ya baridi sana na mvua kwa wingi.

Huko kuna ng'ombe wa kisasa walio chukuliwa marekeni na nchi za ulaya ambapo hali ya hewa inaendana sana na nchi hizo.

Huko kitulo kukiwa na joto ni 19c na kukiwa na baridi hufikia 0c.
ng'ombe hao hutoa lita 15 hadi 20.

shamba lina ng'ombe 700 kwa sasa japo shamba lina uwezo wa kuchukua ng'ombe 4000.

Mheshimiwa Mwigulu amefarijika kufika na kuona shamba hilo ambalo kwa muda mrefu lilikua limetelekezwa na serikali.

chini ni baadhi ya picha.

usiniulize maswali zaidi kuhusu kitulo, sina majibu.


Utaandikaje kitu usichokuwa na majibu nacho, hebu nielekeze mtu anayeweza kunipa detailed information maana nina maswali mengi ningependa kujua kuhusu hiyo sehemu
 
Back
Top Bottom