If u want the best join with the best.

If u want the best join with the best.

MUGOMBA

New Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Hakika wana JF nawapongeza sana kwa habari na changamoto nyingi za maisha katika nyanja zote.
nimeamua nami niongezeke kwenye jamii ,ili tuzidi kubadilishana mawazo mbalimbali kati ya aliyekuwa na hili na
aliyekuwa na lile.
sasa tutakuwa pamoja mpaka mwisho utakapofika.
 
karibu jamvini, pitia kanuni na sheria zetu!
 
Karibu ila hapa hakuna mwisho ni mwendelezo
 
Hakika ujumbe wako ni mzito na mzuri....

Karibu saana JF and Please give us your BEST....
 
Back
Top Bottom