Hi AshaDii, I like the way u represent ur sredi here, it goes deeply and openly for everyone who can see the emotional power of kiss. But in my case nipo tofauti kidogo, and i take a kiss especially hii ya LOVERS as a challenge. Mi binafsi natumiaga sana hii so called kiss. Lakini most of the time naona this kind of kiss is typically symbol of Betrayal.
Ofcoz nikiongelea kwa upande wangu, nimetumia 'kiss' kwa wadada wengi ilhali nina gf wangu somewhere, so I can see and feel that this kiss is an act appearing to be an act of friendship, which is in fact harmful to the recipient. Na kiukweli tupo wengi hapa tuna-do same. Unaonyesha kama unamfeel sana mtu lakini kwa mficho. Nadhani hapa naeleweka.
Na kwenye maisha ya sasahivi kiss imepoteza sana maana, may be it goes deeply and more than a kiss pale watu wanapoamua kunyonya lips so called 'denda'. I dnt knw actually if this is another kind of kiss or whatever. Hapa ndio pabaya zaidi kwani watu wengi nadhani tumetoka home kupiga mandondo halafu unamkuta mpenzi wako/someone unakula lips bila hata kusafisha kinywa, sijui hii tunaiga ama ndo culture yetu inavyochange, sijui.
Ila all in all ni kwamba ''KISS IMEPOTEZA MVUTO SANA KWA MAPENZI YA SIKU HIZI.
Aagh ngoja niishie hapa.
Sizinga.