“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

:redfaces: Ama kweli nilikoamkia leo siko ngoja nirudi kitandani niamke tena upya!
Mbu ndo nini sasa?!!

pheewwww, am sorry luv...haaaaaaa....yaani na picha nimeweka? jamani hao sio mbu na mwj1...
pls dont copy and paste bureee...looooh!
 
pheewwww, am sorry luv...haaaaaaa....yaani na picha nimeweka? jamani hao sio mbu na mwj1...
pls dont copy and paste bureee...looooh!

Hahahahahaha nimechukia (naona unataka ujaziwe PM, kila mtu ashaona ulivyo mhandsome mie kulia wivu bana lol)
 
Hahahahahaha nimechukia (naona unataka ujaziwe PM, kila mtu ashaona ulivyo mhandsome mie kulia wivu bana lol)

hahhhhh, ashadii keshaniponza na kisses zake, pheeewwww...
ngoja ni log out mpaka papoe hapa...lol...
 
Busu kitu mwanana, kwa wanaopendana
Busu tiba ya moyo, na suuzo la roho
Busu talifurahia, na kuondolea udhia
Busu toka kwa mwandani, hakika halina kifani

Kiuno utakikata, Busu likitakata
Mihemko itapanda, kitanda utakipanda
Michuzi itamwaika, kabla kilele kufika
Busu toka kwa mwandani, hakika halina kifani
 
mkwe tangu nilivyokisiwa sijarudia tena. makiss mengine kama ya kichawi nisije kufa bure.
 
Mhhh am so happy when someone recognize and appreciate my words and what i believe.
Thank you a lot AshaDii
In a serious note i always do what i believe is right at that time and sucrufice my pride and ego to smooth the situation
It is better kuwa mdogo kwa baadhi ya sehem ili kuweza kufikia malengo yako hasa unapotakiwa kufanya kitu kidogo tuu kupata makubwa

Nathamini saana mahusiano... na nathamini saana kama a person in question
is married and appreciative of his/her partner, for tunakoelekea ndoa inakua
undermined as time goes on; watu wakisahau kua it is the most crucial of
all institutions na kwamba ndio back bone ya a human being.... Hivo i like that in you...
 
:redfaces: Ama kweli nilikoamkia leo siko ngoja nirudi kitandani niamke tena upya!
Mbu ndo nini sasa?!!

MJ1 Nashukuru ulim-quote Mbu maana nilikua najiuliza saana what he has deleted.... Kumbe kawavua gamba.....lol.. Kweli mmependeza na una haki ya kuwaka!! Maana saizi jamvini ndo basi tena, atakua mzee wa PM.
 
:redfaces: Ama kweli nilikoamkia leo siko ngoja nirudi kitandani niamke tena upya!
Mbu ndo nini sasa?!!

pheewwww, am sorry luv...haaaaaaa....yaani na picha nimeweka? jamani hao sio mbu na mwj1...
pls dont copy and paste bureee...looooh!

Hahahahahaha nimechukia (naona unataka ujaziwe PM, kila mtu ashaona ulivyo mhandsome mie kulia wivu bana lol)

hahhhhh, ashadii keshaniponza na kisses zake, pheeewwww...
ngoja ni log out mpaka papoe hapa...lol...

The above posts ni evidence tosha kua hapo in blue mhusika Kaonewa hivo Mosikwito you have been WARNED for name calling... Source: PAW.
 
Busu kitu mwanana, kwa wanaopendana
Busu tiba ya moyo, na suuzo la roho
Busu talifurahia, na kuondolea udhia
Busu toka kwa mwandani, hakika halina kifani

Kiuno utakikata, Busu likitakata
Mihemko itapanda, kitanda utakipanda
Michuzi itamwaika, kabla kilele kufika
Busu toka kwa mwandani, hakika halina kifani

-beautiful-

THANK YOU M-bongotz..
 
Back
Top Bottom