Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 151
Kaka ukiichakachua hii comment vizuri unapata picha ni namna gani wahindi wanawafikiria black tanzanians. Yaani kwanza wala hawajioni kuwa ni watz. Hata hivyo kuna wahindi wachache ni wastaarabu lakini wengi wao ni tatizo kubwa.humo kwenye nyekundu napata shida kukuelewa, unazungumza kama muhindi ama kama Mtanzania,