boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,281
- 310
Watz tulimwita Nduli baada ya kuvamia mkoani Kagera.
Waganda wengi ukiwauliza je alikuwa sahihi kuwafukuza hawa watu,majority wanakubaliana na Idd Amin.Mpaka leo Uganda ,uchumi uko chini ya Wazawa.
TZ tuna akina Somaia,Patel,RA etc wametugeuza sisi kuwa ni stupid na cunts!
Hata Msomali ananguvu Tanzania kuliko Mzawa.
Kama Tanzania hatutarise up,na kujua hawa watu ni destructive kila walipo,nchi yetu imekwisha.
Hapa bado hujatoa details/facts za kutosha juu ya Amin na Wahindi wa Uganda. Binafsi najua few facts ambazo zinafanya Waganda leo wamsifie Amin kiasi kidogo juu ya suala la Wahhindi amablo lilifanya leo hii Waganda weusi kuwa ndiyo wameshikiria uchumi tofauti na tanzania ambapo Wahindi wamekMATA uchumi kwa sehemu kubwa