Idd Amin na Wahindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idd Amin na Wahindi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Sep 9, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Watz tulimwita Nduli baada ya kuvamia mkoani Kagera.
  Waganda wengi ukiwauliza je alikuwa sahihi kuwafukuza hawa watu,majority wanakubaliana na Idd Amin.Mpaka leo Uganda ,uchumi uko chini ya Wazawa.

  TZ tuna akina Somaia,Patel,RA etc wametugeuza sisi kuwa ni stupid na cunts!
  Hata Msomali ananguvu Tanzania kuliko Mzawa.

  Kama Tanzania hatutarise up,na kujua hawa watu ni destructive kila walipo,nchi yetu imekwisha.
   
 2. P

  Percival JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,566
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Haya maneno ni sumu. Hao unaowaita wageni wengine wamezaliwa hapa vizazi na vizazi kwa hiyo wana haki sawa na wewe unaejiita mzawa na hawana haja ya kubembeleza mtu au kujikomba kwa mtu ili waishi hapa - wana haki kama raia yeyote yule. Jifundishe kutokana na mafanikio yao ili nawe ufanikiwe badala ya kukaa na kulalamika na kutoa manaeno ya kibaguzi.

  Ikiwa kuna mgeni anaishi kinyume cha sheria kwa kutoa rushwa basi ujue anaekula hiyo rushwa ni mzawa mwafrika.

  Kama idi amin alikua bora mbona ilifikia wakati hata sabuni hawana na alikua anawauwa kama nzige !! Mbona uchumi wa uganda ulikufa akaanza kuchapisha noti!!
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha porojo.kwenye red tupe source na si kusingizia hapa.
  Hiyo comment ingine, ok.
   
 4. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kunahaja kabisa ya kuweka uzawa mbele hawa wahindi hawafai kwa nchi yetu. Nilikuwa Malysia mwanamosemo kuwa ''If you meet an Indian and a snake beat the Indian because he/she is more dangerous than the snake'' Sisi tunaendelea kuwakumbatia wakina RA and his fellows. Niliipenda sana hoja ya Idd Simba
   
 5. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watanzania tunatatizo la kupenda sana kujikopa kwa wageni nenda pale airport uone treatment anayopewa mtanzania na ile ya mzungu au mhindi wanawanyenyekea kama miungu watu. We should understand that we are the first class and Asians & Europeans should be the second class, I mean we should have some privileges as native of this country. We cant have the same status as Indians who have dual citizenship mambo yakienda vibaye wanarudi kwao wanatuachia matatizo yetu and we have no way to go.
   
 6. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Naona hiyo imwesaidia sana Uganda. Nasikia wako mbali sana kiuchumi na kijamii. Je unalifahamu azimio la Arusha?

  Bwana Simba alizidiwa ujanja katika biashara akakimbilia kusema mbovu. Hivi ulikuwepo wapi pale Jaffar Sabodo alipotoa milioni mia moja kwa Chadema?

  Ni ukweli usiopingika kwamba kuna waasia wasio wema hapa Tanzania kama vile walivyo "wazawa" wasio wema na hivyo si vyema kuhukumu jamii nzima ya waasia kwa madhambi ya baadhi. Mchawi wa waTanzania ni sisi wenyewe ndugu yangu. Kuna jamaa mbalimbali wenye asili ya Kiasia waliokuwa na mchango mkubwa na uzalendo mkubwa sana kwa nchi hii, je wafahamu kuwa akina Profesa Issa Shivji, Dmitry Mascarenhas, Rakesh Rajani (mwanzilishi wa HakiElimu, Twaweza na mdau mkubwa wa maendeleo na harakati za kijamii) n.k wana asili ya KiAsia? Na hawa ni watu ambao wanastahili kuitwa WaTanzania pengine hata kuliko wewe na mimi kutokana na mchango wao chanya katika nchi hii.
   
 7. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ulio wataja mimi siwajui lakini je wanajumuika na sisi kifamilia - socially? Au wanakupa msaada kwa mbali na kuishi maisha yao separate from the Africans? Kama mtu anajitahidi ili aishi Tanzania maisha yake separate from wazawa, je hiyo sio dharau? Hivi hao wahindi wanakuona wewe na yeye mkosawa?

  Je unajua kuhusu Indian Caste system? Soma hapa kama ujui:
  http://en.wikipedia.org/wiki/Caste_system_in_India

  Je ukisha yaona yote hayo na bado unawakumbatia hao wahindi na kusema eti ni ndugu zako, then what does it say about you ambaye wana kudharau???
   
 8. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wapo wahindi wastaarabu naamini. Ila kinachonishangaza kwa nini hawa jamaa wengi wanaomba uraia?
   
 9. k

  kisoti Member

  #9
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani hii imekaa kiubaguzi wa rangi zaidi.Huwezi ku generalize ubaya au uzuri wa watu fulani kutokana na rangi zao.
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  acha ubaguzi wa rangi wewe. i had afriend ibrahimu kanji! amezaliwa mtwara ... sasa huyu naye ukimfukuza aliekee wapi ..?? INDIA?! JARIBU KUFIKIRI KABLA YA KUTOA HOJA... punguza ubinafsi! ni sawasawa na kusema kina P-Didy, 50 cents ni waafrika!
   
 11. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Your inability to lead business organizations attributed to the massive failures of the giant parastatals like ATC, NMC, TACOSHILI, RTC, TANESCO, NIC etc.
  REmember you took over the private owned businesses after the 1967 Arusha declaration, and the question is:
  What had happened to those nationalized companies?
  Remember all the CEO's, GM's or Managing directors of these nationalized businesses were not Indians. So you have the answer!
  When it comes to set up and run any meaningful business, majority of local Tanzanians are novice unless it's Daladala ownership and singing Bongo Flavor. Indians will continue to run dominate the local economy of this country because we have the required business acumen, expertise and we know how to run the show. Like it or not, that's a fact you can't deny. CCM knows it very well esp. after the aftermath of the Arusha Declaration and Socialism.
  More importantly, to suggest that we get kicked out of Tanzania will be like committing economic seppukku! Stop making any feeble excuses for your own laziness and ignorance
  Stop xenophobia.
  Vote CCM because JK condemns Xenophobia!:frusty:
  Vote JK
   
 12. K

  Koba JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Njaa zenu na matatizo yenu mnaanza kusingizia wahindi,watu kama nyie ndio mwanzo wa matatizo yote na kwa akili hii ya kibaguzi unatakiwa uwe jela sio hapa JF,watu wasio na akili wavivu na wanaopenda solutions za ajabu ajabu kama kufukuza wahindi au kulaumu wengine ni hatari sana...majitu type hii ni kufunga jela tuu
   
 13. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  acha ufala wako, kama unakaa nchi za watu lazima uwe na adabu siyo kuwakalia kisogoni , msichokoze
   
 14. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  humo kwenye nyekundu napata shida kukuelewa, unazungumza kama muhindi ama kama Mtanzania,
   
 15. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Wana JF mimi nina swali moja tu kuhusu hawa "Watanzania wenye asili ya kiasia". Kama kweli wenyewe ni raia wa kweli kwenye nchi hii, mbona sijaona wala kusikia polisi mhindi, ama askari magereza mhindi? ama mwana jeshi mhindi? Je hawa ni raia wa biashara tu na watanzania weusi kazi yao kuwalinda? mbona hatuwaoni wakiishi maeneo ya Manzese, Buguruni nk? Je wao ni watatnzania wa kuishi magorofani tena katikati ya mji? mbona hawachangamani na watu weusi? na tena nasikia ukio binti wa kihindi huyo binti anatengwa na "jamii" yao? Wakati ule tunaenda JKT kwa mujibu wa sheria sikuwahi kumwona hata mhindi mmoja, je kama ni watanzania kweli walikuwa wanakwepa vipi? Mimi sipendekezi wafukuzwe lakini waonekane katika kila maisha ya watanzania. Tuwe kama marekani baada ya harakati za Martin Luther King Jn, weusi na weupe wanachangamana na wanachukuliana kama ndugu.

  Serikali ijayo ya Chadema itabidi itupatie majibu ya haya maswali.
   
 16. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mmmh kweli Baniani mbaya kiatu chake dawa (refer to Shiboda and his two 100 million checks)
   
 17. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Niliwahi kuuliza humu kwa njia ya thread mpya kwamba kwa nini hawaendi kwenye kazi za upolisi, ualimu na jeshini kama kweli ni wazalendo?? Mod aliifuta...
   
 18. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Naam, mkuu!

  ...Je wanajumuika na sisi kifamilia - socially? Au wanakupa msaada kwa mbali na kuishi maisha yao separate from the Africans? Kama mtu anajitahidi ili aishi Tanzania maisha yake separate from wazawa, je hiyo sio dharau? Hivi hao wahindi wanakuona wewe na yeye mkosawa?

  Indian Caste system:
  Caste system in India - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 19. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Huo ni mtizamo wako, na inaelekea wewe huwajui hawa watu hata kidogo, kwa taarifa yako wengi wa hawa wahindi wana pass mbili na wengine mpaka tatu za kusafiria,wengi wao wanaishi hapa Tanzania na wanajulikana na watu kama wewe ni watanzaninia kumbe ni raia wa Canada, UK na hata India,,Wameifanya TZ kama ndo sehemu ya kuchumia, na ni vema ukajua kuna wahindi wamezaliwa hapo kisutu hawajui hata kiswahili cha kuombea maji. Mafanikio yao mengi ni matunda ya rushwa, ukwepaji mkubwa wa kodi na wizi wa rasilimali za hili taifa

  Kama hawa wahindi wanataka watambuliwe kama watanzania wewe wazalendo, waache kuwafanya wadanganyika kama watumwa, wa intergrate kabisa kwenye jamii ya watanzania na waache kabisa hujuma za kiuchumi la sivyo hawatakaa waishi kwa amani kabisa,, ipo siku kama sio wao ni watoto, kama sio ni wajukuu watarudishwa kwao India ( Kama India ni kwa wahindi basi na Tanzania ni kwa Watanganyika)
   
 20. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Your days are numbered! Yes socialism failed, but brought us hammorny and we are coming! Nenda pale mtaa wa Libya utaona nani wanaanza kushika maduka ya spear za magari. Njoo mjini utaona WAKINGA wameuvamia Mtaa wa India (fuckk!), nenda kariakoo uone wazawa wanasimamisha maghoropha.
  And have you lately looked into who are managing the big private business where accountability and profitability is what counts (I am not talking of government institutions were profit making is not the driving force)?

  We also know that your achievements were attained not sorely through hard work, but you have been bribing your way to the top. You have been forming cartels to inhibit us from entering certain business industries, and even making it difficult to rent space in downtown Dar-es-salaam. We know your life mission is to continuing keeping us as consumers of your goods.

  But things are changing. We now have access to bank loans/funds, we are now importing white goods, the business center has moved from the City Center...and we know we are educated and are now channeling our energies towards entrepreneurship...YES, WE ARE COMING AND WE ARE LARGE IN NUMBERS!!
   
Loading...