Kama hawataki wabandueni. . . . .
Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo!!!!
Yesu Kristo wa Nazareti!!Tutawabandua mmoja baada ya mwingine
Mpaka nimekuogopa...Hahahaaaaaaa!!! Ndio hivyo tena
Yesu Kristo wa Nazareti!!
Mpaka nimekuogopa...
Mpaka nimekuogopa...
Hahahaaaaa!! Kibali nakupa mimi mwenyewe wala haina haja ya kumuomba Kaizer, we sema mie huwezi kunikagua.
Ni mimi hapa atoto, kwa maana umeniita.
Hebu kuja pande ya PM chapchap sana.
unataka kujitetea na nini?
Bora unisaidie kumuuliza maana kakurupuka huko sijui hata alikuwa anaelewa alichokuwa anakiandika!!
atakuwa alikurupuka
kwa kuwa mawazo yake yamempelekea kuwaza hayo... hata tukijitetea haita kuwa na msaadaResearch ya jamaa inadai kuwa idadi ya wa dada ni ile ile ila mkimegwa na member humu mnarudi na ID tofauti...nimewa QUOTE mtetee jahazi la jamii yenu
mi dume la mbegu,halafu jina la id mbona haijakaa kama la kikeMy first time in jf nlijua viol ni mwanamke sema tu kaweka avatar ya mwanaume kuwahadaa watu!!but as days goes on nkagundua ni mwanamboka...usimrecognize mtu kwa id humu...
Jukwaa hili, recently naona number ya ID za jinsia ya Ke ikiongezeka na uchangiaji wao kuwa mkubwa. Na hata wasaka wachumba hapo Love connect, wengi ni wadada kwa sasa.
Previous wachangiaji wengi hapa MMU walikuwa wanaume. Hongereni wadada kwa kulinogesha jukwaa na kuwafanya baadhi ya Me kutobanduka hapa..
Enheeeee... Haya nipe list ya wanaotaka kukaguliwa...
usiingie kwenye hii tim ya ukaguzi.
Huyu aggy ngoja nimfuate pm maana kuna aggy moja anajiita aggy jay nilisoma na a-level na alikuwa girlfriend wangu tulipomaliza tukapotezana,usikute huu uzi ni mwuujiza wa kukutana
mi dume la mbegu,halafu jina la id mbona haijakaa kama la kike