Idadi ya wadada inaongezeka kwa kasi JF

Idadi ya wadada inaongezeka kwa kasi JF

atoto na Asprin mnaweza kuniambia mnampango gani kwa haya maongezi yenu? Nipo kwenye vikao vya kukata watu huku msitake niwakate na nyie.:A S wink:

Hahahaaa! Mie hata sikatiki mpenzi, utaanzia wapi kunikata kwa mfano!! Hebu muulize kiwatengu alikuwa na nia gani kumuita Asprin?
 
Last edited by a moderator:
Research ya jamaa inadai kuwa idadi ya wa dada ni ile ile ila mkimegwa na member humu mnarudi na ID tofauti...nimewa QUOTE mtetee jahazi la jamii yenu

Sasa huyo ulitegemea atawaza nini??
 
Hahahaaa! Mie hata sikatiki mpenzi, utaanzia wapi kunikata kwa mfano!! Hebu muulize kiwatengu alikuwa na nia gani kumuita Asprin?

ili ukaguliwe!!
BTW usalama wako hapa jamvini kwa sasa unanihusu moja kwa moja
CC wax
 
Last edited by a moderator:
We si ulikuwa unataka kunikagua?? Haya mueleze sasa Kaizer since when unanikagua!!

Baby tafadhali usirubuniwe hivi hawa watu hawajui wewe ni mke wa wax huyu jamaa anataka kukagua kwani ww gar.
 
Last edited by a moderator:
Baby tafadhali usirubuniwe hivi hawa watu hawajui wewe ni mke wa wax huyu jamaa anataka kukagua kwani ww gar.

Ndio hapo sasa mie nawashangaa, kuanzia lini mke wa mtu anakaguliwa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom