Idadi ya wadada inaongezeka kwa kasi JF

Idadi ya wadada inaongezeka kwa kasi JF

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,379
Jukwaa hili, recently naona number ya ID za jinsia ya Ke ikiongezeka na uchangiaji wao kuwa mkubwa. Na hata wasaka wachumba hapo Love connect, wengi ni wadada kwa sasa.

Previous wachangiaji wengi hapa MMU walikuwa wanaume. Hongereni wadada kwa kulinogesha jukwaa na kuwafanya baadhi ya Me kutobanduka hapa..
 
hizo ni IDs tu na inawezekana sio wadada kama unavyodhani.
Na hao ME unadhani hawabanduki MMU sababu ya KE nadhani hawajielewi sawasawa otherwise your statement is wrong, ,,
 
hizo ni IDs tu na inawezekana sio wadada kama unavyodhani.
Na hao ME unadhani hawabanduki MMU sababu ya KE nadhani hawajielewi sawasawa otherwise your statement is wrong, ,,

Ke ni attractive agent, hujui?
 
Ke ni attractive agent, hujui?

agent wa kitu gani sasa?

binafsi siwezi kuwa attracted na mtu ambaye simjui, sijawahi hata kuwasiliana nae, hata avatar tu kaweka sura za watu wengine, yani naishia tu kuona post zake jf no no no .
 
agent wa kitu gani sasa?

binafsi siwezi kuwa attracted na mtu ambaye simjui, sijawahi hata kuwasiliana nae, hata avatar tu kaweka sura za watu wengine, yani naishia tu kuona post zake jf no no no .

...ngoja uuvae uligendary utakuja ku witness hapa.
 
Kumbe sisi ndio chanzo cha kuwafanya watu wasibanduke hapa Jf
 
Back
Top Bottom