Idadi ya wadada inaongezeka kwa kasi JF

Idadi ya wadada inaongezeka kwa kasi JF

Jukwaa hili, recently naona number ya ID za jinsia ya Ke ikiongezeka na uchangiaji wao kuwa mkubwa. Na hata wasaka wachumba hapo Love connect, wengi ni wadada kwa sasa.

Previous wachangiaji wengi hapa MMU walikuwa wanaume. Hongereni wadada kwa kulinogesha jukwaa na kuwafanya baadhi ya Me kutobanduka hapa..

Hizo ni ID za wanaume kama huna Habari.
 
Back
Top Bottom