Idadi ya wadada inaongezeka kwa kasi JF

Idadi ya wadada inaongezeka kwa kasi JF

Unajidanganya ID nying unazofkiria kuwa za KE hzo ni za ME sasa by the way km hujui.
 
hizo ni IDs tu na inawezekana sio wadada kama unavyodhani.
Na hao ME unadhani hawabanduki MMU sababu ya KE nadhani hawajielewi sawasawa otherwise your statement is wrong, ,,
Lisemwalo lipo...
 
Jukwaa hili, recently naona number ya ID za jinsia ya Ke ikiongezeka na uchangiaji wao kuwa mkubwa. Na hata wasaka wachumba hapo Love connect, wengi ni wadada kwa sasa.

Previous wachangiaji wengi hapa MMU walikuwa wanaume. Hongereni wadada kwa kulinogesha jukwaa na kuwafanya baadhi ya Me kutobanduka hapa..

Wacha waongezeke tu bwana... nawapenda sana viumbe hawa
 
My first time in jf nlijua viol ni mwanamke sema tu kaweka avatar ya mwanaume kuwahadaa watu!!but as days goes on nkagundua ni mwanamboka...usimrecognize mtu kwa id humu...
 
Back
Top Bottom