Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,531
Love you more.
Wanaume wengi wamekuja na ID za kike humu
Nyie mademu, msomeni huyu bazazi hapa chini....
Jamani kama kweli wamekuwa wengi mbona sipati PM??haya nasubiri PM za hasa hawa ingizo jipya
CC Malaika mimi kiwatengu Asprin Kipaji Halisi Watu8 Vin Diesel Ben Mugashe laizer
Bazazi usiniquote kwenye haya mathread ya motoni.