kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,100
- 15,427
popo popo
Jukwaa hili, recently naona number ya ID za jinsia ya Ke ikiongezeka na uchangiaji wao kuwa mkubwa. Na hata wasaka wachumba hapo Love connect, wengi ni wadada kwa sasa.
Previous wachangiaji wengi hapa MMU walikuwa wanaume. Hongereni wadada kwa kulinogesha jukwaa na kuwafanya baadhi ya Me kutobanduka hapa..

usidanganyike,wakimegwa wanarudi na id mpya
Research yako mkuu imeenda mbali sana...
Lala 1,miss chaga,atoto,badili tabia,nk
Waje tu wajitetee
usidanganyike,wakimegwa wanarudi na id mpya
hapa nakusaidia kuwaita uliowataja.. umeanza na lara 1 ukafuata miss chagga then atoto na BADILI TABIA. huyu nk hayupo siku izi.
Hapa nadhani mkuu shikwashikwa utakuwa umesikika.
"wadada " manake nini kiswahili cha wapi?
mbona unatetea sana nguvuWe umejuaje?? Uliwamega wangapi wakarudi na id mpya??? Hivi hii kitu ishakuwa sifa siku hizi eti!!! Hivi ule uzi wa ku-man up ulifutwa au bado upo??!! Inabidi wavulana wakapitie kule.
mbona unatetea sana nguvu
Teh teh teh teh!! Ngoja nicheke tu nisiseme sana!