ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Mpaka sasa hivi hamna betri zilizochomolewa. Miaka ya nyuma hapo palikuwana dadaz hizo🙉🙉🙉zikiingia kwenye nyuzi kama hizi ni damu tu zinamwagika.
Siku hizi jf haina troublemakers kabisa, wamebaki wakina de Gunner 😝😝😝😝😝
Wewe babydol naomba nikujue tafadhali kwa maana hiyo sio ID yako mama
 
Kila nikiona id ya baby doll nakumbuka mwaka jana mtu alihuzunika PM kwamba hamuoni jukwaani kapotezana nae anammiss sana.
Wajanja sana hawa viumbe, wanajua kucheza na nyakati..

Huyu ni Joanah huyu nakwambia, shila haya maneno.. Sasa wewe babydol mbona unapotea na kutesa watu makusudi?
 
Back
Top Bottom