Haki ya MunguUkute unanidanganya. Sio vizuri 😔
JF siku hizi imepoa sana uzi kama huu ungekuwa miaka ya 2017 hadi 2020 ungekuwa umeshaleta maafa sana kwa jinsi ulivyotembea.Mpaka sasa hivi hamna betri zilizochomolewa. Miaka ya nyuma hapo palikuwana dadaz hizo🙉🙉🙉zikiingia kwenye nyuzi kama hizi ni damu tu zinamwagika.
Siku hizi jf haina troublemakers kabisa, wamebaki wakina de Gunner 😝😝😝😝😝
Mimi nimejiunga Jf 2017 nina comments elfu 5. Wewe unadhani hizo comments nilikuwa naziandika wapi kama sio hapa hapa jf? Ndio ujue miaka hiyo wewe hata hauijui JF nilikuwa nakimbiza humu😝😝😝😝😝😝😝😝😝Basi tu umekuja na moto na sikuwa kuona ID hii
Ungekuta kuna watu wameshakimbia ID zao na ban za miezi 6 wengine na uzi umefutiliwa mbali.JF siku hizi imepoa sana uzi kama huu ungekuwa miaka ya 2017 hadi 2020 ungekuwa umeshaleta maafa sana kwa jinsi ulivyotembea.
Anyway uandishi wako unafanana sana na binti flani alikuwa anatumia ID ya Paprika. Alikuwa hapa around 2017 akalaga ban la maisha.
Kwani unanificha mm au tunajificha mwenyewe?Mpaka sas hivi haujui ushikilie wapi😝😝
Why can't you just be real!? Woga wa nini sasa😀🙌🏿❗
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self...!
Your reaction...!
Your handwriting...!
Your cycles...!
Your puppetism...!
ID ya kusifu watu.
ID ya kutukana na kukashifu.
ID ya mizinga.
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿♂
ID za uzinzi nknk..❗❗❗
Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂
Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi
ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako❗
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
Hizo emoji anazoweka huenda hisia za wewe kusema ni yeye kwa I'd nyingine zikawa ni kweli 😂Kwani unanificha mm au tunajificha mwenyewe?
Naomba nipe ABC zake nijue naingiaje.Chiwawa nini shida mbona umemkalia kooni huyo mrembo? Kama unamtaka si umwambie sio kutumia mbinu za kizamani kam hizo 😹😹😹