secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,149
- 45,923
Naheshimu uamuzi wako mama watoto 😅Simsamehi
Naheshimu uamuzi wako mama watoto 😅Simsamehi
Karibu kibaruani deiwaka wa JFPunguani wewe, punga usiye na soko
Dumenipe id ya huyo mwanao kama ni wakike niwe mentor wake humu ndani😁
Kabisa aisee!Mtafuteni bana kapotea muda mrefu sana!
HatimaeWhy can't you just be real!? Woga wa nini sass😀🙌🏿❗
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..
ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿♂
ID za uzinzi nknk
Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂
Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi
ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
safi sana I think kijana atajifunza mengi sana humu ndaniDume
😂😂😂😂😂 Heee sasa kulikuwa na haja gani kusema anataka kukulipa?True story kuhusu multiple IDsp
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
My apologiesNo wayolensi today 🏃🏿🙆🏿♂🤣
Babe kumbe watu wanakuzingua na huniambii nataka uwe na utulivu wa hali juu sitaki mtu akudisturb😁
Kwanza humu watu wananusa😁😁😁,Mwenyewe siwezi kufake aisee ntajisahau tu😂
Now u know 😄😄watu mkaombewa na kuombewa 🏃♀️🏃♀️🏃♀️😎Attention seekers..
The wanna be’s
Aisee za dini nazo zilinacha mdomo wazi🫢
Nyie matapeli wapo🙆🏽♀️ 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
😁😁😁😁,umepoa.poa poa
Achana naye atalipwa na Mungu!Kaniibia, kanitapeli halafu ananidanyanga.. Nitamuachaje kwa mfano🤬
Leo sijui katuoteaje kapotea! Nahisi anaandaa nyingine tusimuharibie kazi😂Hatimae
Seran 😄😄😄kuna mtu mwenye id 7 namuona
Styl ileile ushenzi ushenzi tu...be real men
Mwanume wa kweli kutwa kubadirisha id na kuchafua watu
Km we mwanaume kweli get back to the used 1