ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

True story kuhusu multiple IDsp
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa

Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗

Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa

Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii

Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali

Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!

Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
😂😂😂😂
 
Watu huwa hawaamini kwenye id moja mimi huwa wanaforce sana niseme nina ids nyingine wakati sina hata huo muda, hii tu ishanizalishia mengi nikatafute nyingine tena, huo msalaba aisee!
Hahahaha😂
🌱 Women Farmers in Guyana 🇬🇾  Feeding families_ Powering communities. Breaking barriers.jpg
 
Huyu wakuitwa Busu la Kenge anatoa kozi ya jinsi ya kuwa na 🆔 zaidi ya moja kaka.

Ukishindwa kumpata busu, basi nenda kwa adriz de mbusii atakusaidia.
Hivi adriz mdogo wangu kapotelea wapi jamani? Tangu tupigwe naye ban hajarudi! Zile ban watu wakahisi tuko kundi moja na kina mongolian na wewe😂
 
Back
Top Bottom