Mi nahitaji kioo cha iphone 6 plus mafundi km vipi niuzieni tu spare
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Vioo ninavyo kibaoMi nahitaji kioo cha iphone 6 plus mafundi km vipi niuzieni tu spare
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilisafiri nikaiacha simu yangu (iPhone 4s) nyumbani sasa nadhani ilichezewa sababu baada ya kurudi nilikuta ina tatizo, nikiiwasha inaniambia "iphone disabled please connect to itunes" sasa nina itunes kwenye pc yangu na nina apple id je naweza kuiponya bila kwenda kwa fundi? msaada tafadhali mkuu.Dear wana jamii forums. Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa lock za icloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye icloud, 7 nilikuwa naweza kuzifungua. Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu 2017, especially simu mpya kama iphone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua. Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua? Trust me. Hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same. Njoo tuzungumze
Mi nahitaji kioo cha iphone 6 plus mafundi km vipi niuzieni tu spare
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kiongozi unaweza kuiponyaMkuu nilisafiri nikaiacha simu yangu (iPhone 4s) nyumbani sasa nadhani ilichezewa sababu baada ya kurudi nilikuta ina tatizo, nikiiwasha inaniambia "iphone disabled please connect to itunes" sasa nina itunes kwenye pc yangu na nina apple id je naweza kuiponya bila kwenda kwa fundi? msaada tafadhali mkuu.
Iphone 6s na iphone 7 are the latest iphones na zinakubari new release iOS. Endelea kula maisha kiongozi. ukizoea kutumia iphone huwezi kutumia simu nyingine. Ni nzuri mmno!!Mzee nmeupdate iphone 6s yng ikapanda ios 11.0 duh hawa jamaa ni hatari. Wameongeza security sanaaaaView attachment 580223
Mkuu umepata beta version au maana hii officially ni 13 mwezi huu ndipo wana irelease kwa matatajio kwamba itakuwa released na new devicesMzee nmeupdate iphone 6s yng ikapanda ios 11.0 duh hawa jamaa ni hatari. Wameongeza security sanaaaaView attachment 580223
Kawaida apple wako smart sana na new release ya iOS zao. kabla ya ku-upgrade new firmware, inachunguza device yako kama inaweza kubeba hiyo new release iOS. kama inaweza itakuambia upgrade. kama haiwezi inakuambia. kwahiyo itategemea how addicted with iphone na mfuko wako ukoje ununue mpya au uendelee na hiyo uliyonayo. By the way iphone zote zinafanya vizuri mpaka sasa watu wanatumia iphone 4 sembuse wewe mwenye iphone6? Kiongozi huko juu!Mkuu umepata beta version au maana hii officially ni 13 mwezi huu ndipo wana irelease kwa matatajio kwamba itakuwa released na new devices
Sawa kiongozi "poor country poor mind" sasa niende kuhack NASA ili iweje? ntapata nini? lakini kwa iphone kwavile wengi tunazitumia na wengi wanapata shida kwanini nisitake my chances to solve them huku nikijipatia kipato? Hiyo imekaaje?Poor country poor minds! Kesho uje utuambie umehack NASA kaka hongera


.🙂🙂🙂 sawa bwana. Karibu!Haya kiongozi endelea kuibia watu... tumetumia iphone miaka nenda miaka rudi hata ww ulikuwa hujui iphone ni nini. Eti leo mtanzania anaweza kufungua iphone locked kwa iCloud itabidi tuite CNN na BBC! Hata ile iphone kwenye kesi ya pistorius kule South Africa sijui kwanini waliipileka marekani wangeleta tuu bongo kwa fastjet blaza ufanye mambo.
Kiongozi unataka KUPIGWA TU,za kuambiwa changanya na zakoMkuu inawezekanaje??? 5s kwa mfano sh ngapi
Sent from my iDevice using Tapatalk



Sio kizembe mkuu nipo makiniKiongozi unataka KUPIGWA TU,za kuambiwa changanya na zako
ploudly ngosha![]()
Kupigwa? kivipi?Kiongozi unataka KUPIGWA TU,za kuambiwa changanya na zako
ploudly ngosha![]()
oya i5s ukiiupdate ios inaenda hadi hii mpya au inaishia 10??Kawaida apple wako smart sana na new release ya iOS zao. kabla ya ku-upgrade new firmware, inachunguza device yako kama inaweza kubeba hiyo new release iOS. kama inaweza itakuambia upgrade. kama haiwezi inakuambia. kwahiyo itategemea how addicted with iphone na mfuko wako ukoje ununue mpya au uendelee na hiyo uliyonayo. By the way iphone zote zinafanya vizuri mpaka sasa watu wanatumia iphone 4 sembuse wewe mwenye iphone6? Kiongozi huko juu!
Mkuu i5s ambayo iko locked ikiunlockiwa inaweza kuupdatiwa?Mi nilifanikiwa mbili lakini the rest niligonga mwamba, hasa hivi ambazo zina iOS 10.3.3 ni ngumu sana maana hazikubali kudowngrade kwenda version za chini, ila ukibahatika ambayo ilikuwa na version 10.0 kushuka chini angalau sio ngumu kutoa
i5s inakubali hadi ios version ngapi🙂🙂🙂 sawa bwana. Karibu!
Dah! Mkuu umerudi kwa kasiMkuu nasikia iPhone wameongeza security sana kwenye simu zao