Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
PoaFriendly!
PoaFriendly!
Kwasasa nina iphone 6 & 7 nne nimefanikiwa moja 6s. nilikuwa nimezoea 5 na kushuka chini. Namba yangu nipo whatsappMkuu ofisi iko wapi nikuletee 6 na 7 uzifanyie mazoezi?[/QU
okk,nitakuchek chiefKwasasa nina iphone 6 & 7 nne nimefanikiwa moja 6s. nilikuwa nimezoea 5 na kushuka chini. Namba yangu 0762516246 nipo whatsapp
iPhone ni nzuri acha tu..niliwahi kutumia iPhone 4s nikazikubali ila nilikuja kuiuza kwa shida niliyokuwa nayo..nna mpango wa kununua i5s nizidi kuenjoyIla iphone ni ngumu sana kutumia pia huwezi enjoy kama androd nasikia ila nahitaji nunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa nina iphone 6 & 7 nne nimefanikiwa moja 6s. nilikuwa nimezoea 5 na kushuka chini. Namba yangu 0762516246 nipo whatsapp[/QUOTE
Unawezaje kutoa 6s alafu 6 ikushinde mkuu?!
Ila iphone ni ngumu sana kutumia pia huwezi enjoy kama androd nasikia ila nahitaji nunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipad za wi fi vppoapoa ngoja nitakutafuta
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hii sasa muulize mtoa mada kwa maana na mimi ni mteja tu
Vp ipad za wi fi nazo unatoa icloud?Dear wana jamii forums. Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa lock za icloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye icloud, 7 nilikuwa naweza kuzifungua. Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu 2017, especially simu mpya kama iphone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua. Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua? Trust me. Hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same. Njoo tuzungumze
Mwenye kuhitaji huduma ya kuondoa google lock simu yoyote ya android anitafute
Mkuu iphone zenye processor za 32 zinakuwa bypassed kimbembe kiko kwenye 64 processors ambazo zinarun over ios 9
Tuwasiliane whatsappNaombeni mnifungulie iclouds
zote. iphone and ipad
Hapana kiongozi labda unahitaji darasa. ukishazijulia iphone/ipad huwezi kutumia simu yoyote. Naweza kulinganisha Samsung J7 na iphone ya zamani kama 4S intems of speed and storage
yap! natoa karibu
Niko vizuri lete!Hii sasa muulize mtoa mada kwa maana na mimi ni mteja tu![]()
![]()
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Ni kweli iOS ni rahisi na friendly ukizijuliaiOS ni mfumo rahisi sana kutumia kuliko android
Yeah! iphone ni nzuri zaidi, alafu haziharibiki ovyo kama simu za android. ila inabidi usisahau security ulizoziweka kama password lock, itune au/na icloudiPhone ni nzuri acha tu..niliwahi kutumia iPhone 4s nikazikubali ila nilikuja kuiuza kwa shida niliyokuwa nayo..nna mpango wa kununua i5s nizidi kuenjoy