icloud unlock for iphones

icloud unlock for iphones

BTW mm pia nilishawah kuzifungua iPhone kuanzia 4_5 MWISHO na nilikuwa naweza zile zenye IoS 8 kushuka chini tu na kwa uzoefu wangu 4 zilikuwa nyepes sana but niliamua kupotezea maana Kuna jamaa angu alikamatwa aisee na police, but uwezo wangu ulikuwa kutoa password, na kama mtu aja_report kwa wenyew kama kaibiwa basi inakuwa easy kwel maana akiwa tayar bas unakuta ujumbe kila Mara unatumiwa ukiiwasha tu simu, AISEE WALE JAMAA WAPO VIZUR, though nying sana nilikuwa nikiweza unaishia kutumia kama iPod tu kwa kwel ukiwa uwez kupata wireless internet kila muda bas utatumia kama kusikiliza music, kucheza games, kusoma vitabu ambao ushavidownload, na matumizi mengine but except kupiga simu au kupigiwa maana sim uwa not supported, but nilsikia kuna watu wapo vizur zaidi though sijawah kuona, Lakin nishazipotezea because kwa upande wangu Kuna mengi ya kujifunza kutokana na IT yangu rather than those... Nawakilisha

Pirate
 
Kiongozi watu kama nyie ndo nawatafuta. njoo basi tushirikiane ezoefu tutatue matatizo ya watu na tujipatie kipato. you see? icloud locked iphone kuzifungua sio crime kama watu wanvyo fikiria na mtu eti anakushitaki atashindwa mwenyewe. issue ni yule aliyekuletea simu akiwa na hoja kuwa niyake na imejifunga. sasa nikimfungulia mimi nina kosa gani? njoo tushirikiane uzoefu. mimi hapa niliponina iphone kibao nazifanyia kazi and it is good bissness
 
oya i5s ukiiupdate ios inaenda hadi hii mpya au inaishia 10??
Kuapdate iOS ya iphone inategemea hardware platform ya hiyo simu w.r.t. new iOS. New release ya iphone ni automatic kuangalia iphone na itakuambia unaweza kuapdate au la, mwanzo kabisa unapoicommand
 
Mkuu inawezekanaje??? 5s kwa mfano sh ngapi

Sent from my iDevice using Tapatalk
Look! I am professional! Kuna wengine nawafungulia simu zao huko huko waliko alafu wanasepa bila kunilipa. Tuwasiliane bei ni maelewano!
 
Inawezekana sana mkuu. Simu ngumu ni 6 na 7 ambazo mpaka sasa nimeletewa 3 zinanitessa kuzifungua. kuhusu bei ni maelewano njooo whatsapp 0762516246
mkuu kwani we unatumia njia gani kufungua icloud locks
 
Kwa sisi tunaocheza na cracking, patching, reparking na SEO tunaamin hakuna linaloshindikana chin ya jua... Kama inawezekana kujailbreak iphone 7 kwann ishindikane kutoa icloud?... Ni vile tu haya mambo yanahitaj utundu mwingi
 
mkuu kwani we unatumia njia gani kufungua icloud locks
Njia nyingi. Hiyo siri yangu. Lete kama imefungwa nitaifungua na tutafanya biashara. Nilikuwa natafuta watu wanaofanya biashara kama hii tushirikiane uzoefu kwasababu nyingine zinanishinda
 
Kwa sisi tunaocheza na cracking, patching, reparking na SEO tunaamin hakuna linaloshindikana chin ya jua... Kama inawezekana kujailbreak iphone 7 kwann ishindikane kutoa icloud?... Ni vile tu haya mambo yanahitaj utundu mwingi
Asante sana PlayBoyMwema. Zinafunguka kama unamaharifa ya mambo ya IT! Nimefanya kazi hii muda sasa japo kuna challenge ambapo Apple wanaongeza security especially kuanzia 6s. Kwa wanaofanya kazi hizi tutengeneze group whatsappp au kutumia "Teamviewer" tusaidiane maharifa. hili ndo lilikuwa kusudi langu kuanzisha uzi huu
 
Jinsi ya kuondoa icloud watafute wamiliki halisi wa hizo simu wakupe icloud id zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom