Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
kumbe..daah niceiPhone 5s itakubali iOS 11.
Zilizothibitishwa kuishia iOS 10 ni;
1. iPhone5c
2. iPhone5
iPhone4s iliishia iOS 9
kumbe..daah niceiPhone 5s itakubali iOS 11.
Zilizothibitishwa kuishia iOS 10 ni;
1. iPhone5c
2. iPhone5
iPhone4s iliishia iOS 9
sawa na eti kwa mfano ukaifungua hawawezi kuitrack na kuja kukukamata kwa mfano kama hiyo simu ilipigwa tukioLook! I am professional! Kuna wengine nawafungulia simu zao huko huko waliko alafu wanasepa bila kunilipa. Tuwasiliane bei ni maelewano!
anhaa hii sawa mkuuKuapdate iOS ya iphone inategemea hardware platform ya hiyo simu w.r.t. new iOS. New release ya iphone ni automatic kuangalia iphone na itakuambia unaweza kuapdate au la, mwanzo kabisa unapoicommand
Sawa mkuu nimekusomaLook! iphone nyingi kwa uzoefu kuanzia iphone 5s downward zinafunguka. nyingi zitazingua lakini ukikomaa na ukawa na muda wa kucheza nazo zinafunguka. trsust me!
Anha sawa mkuu..bei lakini ni rafiki sio ya kukabana shingo??Baada ya kuondoa lock unafuta icloud na inakuwa mpya kama ya kwako original na unaweza kuapdate iOS
Zinafunguliwa labda kama unaamua kubisha. njia inayotumika ni cracking, bypass, hacking, and social engineering. Kama unaelewa hizi lugha utakubaliana na mimi. Ila ni probability ambayo mpaka sasa nasema ni 70%. kama unayo yenye icloud tuwasiliane
Unanunua unajaribisha pia kwa kuweka line na kupiga simu. vile vile unahakikisha unaondoa icloud kama inayo. iphone mpya utaiweza bei yake? iphone 7 ya ukweli hapa bongo ni kuanzia 1.6m to 2m. hiyo hela unayo?Na zile wanazoziuza used hapa bongo zina icloud eti kumbe mm ciwezinunua used hata sku moja
Sent using Jamii Forums mobile app
utamsaka kivipi wakati imefungwa na hawezi kuitumia? ungempata kama angukuwa na auwezo wa kuitumia. Mantiki ya icloud kwa iphone ni kwavile iphone zinakuwa na uwezo mkubwa kama pc na mtumiaji unakuta ameweka taarifa zake na mafile yake binafsi hivyo akiipoteza au ikiibiwa pasiwepo mtu ku-access hayo mafile. hukiipoteza ukiwa umeweka icloud it is useless to the owner either. tukiifungua kwa hacking techniques tunaondoa icloud yako na kudisable tracking and you will never get it! hahahhahah!Mkuu umepoteza simu unamsaka mwizi wako kwa njia hii
Hahahahahahaha watu tunaakili bhana iCloud had never been expoited and will never be.
Unaanza kuongelea malipo wakati umesema huwezi kuzifungua, halafu unawaita watu chemba ukawapige, acha utapeli wa kishenzi wewe....
kamba tupu, CIA hawawezi kuondoa iCLOUD hata ya iPhone 4. We mchawi wa Kisarawe unaziondoa unaanzia wapi? Dauche bag!
Friendly!Anha sawa mkuu..bei lakini ni rafiki sio ya kukabana shingo??
Ni mtizamo tu!Unachosema ndo ukweli anataka kutapeli watu I cloud si jambo la kitoto
Yeah! ukiifungua kitu cha kwanza ni kuondoa icloud na kudisable tracking ya location kurestt kama mpya. Bila kufanya hivyo utakamatwasawa na eti kwa mfano ukaifungua hawawezi kuitrack na kuja kukukamata kwa mfano kama hiyo simu ilipigwa tukio
Na ss tuliozoea kununua online cmu used itakuwajeUnanunua unajaribisha pia kwa kuweka line na kupiga simu. vile vile unahakikisha unaondoa icloud kama inayo. iphone mpya utaiweza bei yake? iphone 7 ya ukweli hapa bongo ni kuanzia 1.6m to 2m. hiyo hela unayo?
Online huwezi letewa icloud locked.
Ila iphone ni ngumu sana kutumia pia huwezi enjoy kama androd nasikia ila nahitaji nunuaOnline huwezi letewa icloud locked.
Kwanza online bei yake haina unafuu kiivyo,unaweza kuta inapungua laki nne au mbili kwa mpya.maana imekaguliwa haina dosari.
Ni kweli.kama umetoka android kule kutakuvuruga tu,mpaka uje uzoee baadae.Ila iphone ni ngumu sana kutumia pia huwezi enjoy kama androd nasikia ila nahitaji nunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ofisi iko wapi nikuletee 6 na 7 uzifanyie mazoezi?Dear wana jamii forums. Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa lock za icloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye icloud, 7 nilikuwa naweza kuzifungua. Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu 2017, especially simu mpya kama iphone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua. Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua? Trust me. Hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same. Njoo tuzungumze
Hapo nimekupata na je, asilimia ya kuitoa icloud ni ngapi?? simu inakuwa poa kama mpya au performance inashuka kidogo?Yeah! ukiifungua kitu cha kwanza ni kuondoa icloud na kudisable tracking ya location kurestt kama mpya. Bila kufanya hivyo utakamatwa