GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hizi picha zimezagaa tu bila kuwa na sehemu moja kama repository. Hatuwezi kuwa ma website na kufanya proper curation? Picha za miili ya walikufa. Na kwa wale ambao miili haipo tupate confirmation toka kwa ndugu, jamaa au marafiki.

Hii itasaidia pia kupata idadi rasmi ya vifo.
 
Hii ni zaidi ya October 7 na Netanyahu anachokifanya
Ni afadhali ya Netanyahu kwa kuwa yeye haui Waisraeli wake. Sisi mama huyu anaua Watanzania wenzake, wale wale ambao anapigana kwa udi na uvumba awaongoze. Ndio maana jana akaogopa hata kuapishwa hadharani kwenye uwanja wa mpira kama ifanyikavyo kwa kawaida ili kila raia aweze kuhudhuria hafla hiyo ya furaha. Hafla ikawa kwa kualikwa tu. Yaani anawaogopa watu ambao atakuwa anawaongoza. Hapo hapo anadai amechaguliwa kwa asilimia 98% ya wapiga kura. Iweje awaogope watu wanaompenda kiasi hicho?
Viongozi wa kinachoitwa 'Tume Huru ya Uchaguzi' pia waburuzwe naye kwa kutoa takwimu hizo za kugushi. Eti watu milioni 32 walipiga kura kati ya milioni 37 waliojiandikisha! Hayo hayo aliyokuwa akisema Polepole. Tumeona video za mtu anatiki lundo la karatasi za kura peke yake. Hapo hapo video zingine zinaonyesha maboksi ya kura yakichomwa moto au kuchanwachanwa na waandamanaji. Bado Tume inasema imehesabu kura milioni 32 kwa siku tatu tu wakati hakuna hata mawasiliano ya internet. Hiyo kazi waliiwezaje?
 
Si inabidi sisi tutume ushahidi mwingi ICC, pia zile video alituambia hakutakuwa na Nywinywi,?video zote za mauaji pia tuzitume huko,?wamfungulie mashtaka huyu Kibibi mwenye division zero form four.
Mange atupe muongozo wa kutuma mashtaka huko ICC.
 
Natoka pole kwa wote tuliofikwa na majanga. Nawatakia wote waliopata madhara ya mwili na Mali wapone haraka na waliopoteza maisha. Mungu awarehemu. Amen.


Mimi ni mpinzani mkubwa wa ICC. Matatizo na Changamoto zetu tuzitatue wenyewe. China walikuwa na changamoto, Ufaransa (Yellow vest) walikuwa na changamoto, Russia ( ugaidi na masuala kadhaa ya ubadhirifu kwenye serikali Yao) walikuwa na changamoto, Colombia, Canada, Nepal, Madagascar, Ethiopia, Saud Arabia wote hawa walikuwa na changamoto zao...!!! Hawakuwaita ICC!!!

ICC isiwe kigezo cha kukwepa wajibu wetu kama Taifa kutatua na kukabili matatizo na Changamoto zetu.

Mungu Ibariki Afrika,
Mungu Ibariki Tanzania. Amen.
 
Kwenye hiyo Listi waongezwe
2. RC Chalamila na wakuu wote wa mikoa ya Mwanza, Arusha, Mbeya na Songwe
3. IGP Wambura, Muliro na RPC wote wa Mwanza, Arusha, Mbeya na Songwe
4. Asha-Rose Migiro na top brass ya CCM
5. Mwenyekiti wa INEC, Jacobs Mwambengele na Mkurugenzi wake Ramadhani Kailima
 
Oh trust me. Mimi ninazo zaidi ya 200 na tumeshaziwasilisha ICC.

Huyu mbwa lazima ashughulikiwe.
Endelea kuwatumia ushaidi huo wa hizo picha za mauaji,.Kuna kipindi nami niliwatumia shauri wakadai wanaitaji ushaidi unawasilishwa na majority.
 
Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least.

Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee.

Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato.

View attachment 3496787

Nategemea ICC itatoa arrest warrant dhidi yake.

Make her life a living hell.

Toeni arrest warrant haraka sana ili aishie kuwa anaenda Somalia na Burundi huko kwa rafiki zake.

Na ole wake aje kwa Trump.
watoe kwanza ya dagalo hemeti wa RSF acheni ujinga na kuota moto wa matairi utapata TB
 
Oh trust me. Mimi ninazo zaidi ya 200 na tumeshaziwasilisha ICC.

Huyu mbwa lazima ashughulikiwe.
Nakuaminiaaa tuungane kama kuna fee kufungua shauri Icc tupige mbiu nchi yoote tutachangiaa hii unyama mkubwa sanaaa
 
Wenye kujua wapi pa kuanzia wafanikishe jilo kulifikisha huko ICC au watupe muongozo.
 
Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least.

Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee.

Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato.

View attachment 3496787

Nategemea ICC itatoa arrest warrant dhidi yake.

Make her life a living hell.

Toeni arrest warrant haraka sana ili aishie kuwa anaenda Somalia na Burundi huko kwa rafiki zake.

Na ole wake aje kwa Trump.
NILIPO WAAMBIENI SAMIA ATAMWAGA DAMU NYINGI MLINIPINGA MKANIITA SIYO JINIUS ...ila mjalaana samia atotoboa kwa namna yoyote na walio nyuma yake wote hii ni 100%
 
Back
Top Bottom