GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbali ya sisi kupiga kelele kuhusu kutekwa na kupotezwa kwa raia kibao kabla ya uchaguzi

Zimwi chama dola kongwe CCM halikuridhika na damu hii, hivyo baada ya uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025 siku iliyofuata wakaanza chinjachinja wa watu kwa maelfu yaani mauaji ya halaiki massacre

Hakika muda wa kupiga Kelele na kupeleka ushahidi na kuwa tayari mashahidi wa kesi itakayofunguliwa ICC tuwe tayari kwenda Uholanzi kutoa ushahidi genge hili la wauwaji na amiri jeshi mkuu wakamatwe

TOKA MAKTABA :
 
Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least.

Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee.

Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato.

View attachment 3496787

Nategemea ICC itatoa arrest warrant dhidi yake.

Make her life a living hell.

Toeni arrest warrant haraka sana ili aishie kuwa anaenda Somalia na Burundi huko kwa rafiki zake.

Na ole wake aje kwa Trump.
Kwa huu ushahidi uliopatikana amini maneno yangu.

Samia asipotolewa arrest warrant na ICC niite mbwa.
 
TOKA MAKTABA:
Utawala wa miaka 7 wa Abeid Amani Karume 1964 - 1972 wa chinja chinja tukifanya mzaha hawa wauwaji waendelee kututawala miaka 5 mauaji yataendelea hadi 2030


TOKA MAKTABA :

Kanali Seif Bakari katika historia ya baada ya mapinduzi matukufu ukiisoma unaona kama yaliyotendeka yanajirudia : soma : source :
Mzee Aman Thani anaelezea yaliyomtokea baada ya Mapinduzi ya Zanzibar

View: https://m.youtube.com/watch?v=xXlGpTGqDTM


Dubai, UAE
Simulizi za mhanga wa mapinduzi Mzee Aman Thani toka



Jaha Ubwa alipokua gerezani Zanzibar watu wa Makunduchi wakamkejeli; "Tulipotaka kusali Ijumaa ukatukataza na ukasema dhambi zenu leo nitazichkua mimi." Jaha Ubwa alilia machozi.


Mzee Aman aliyepata kupelekwa gerezani akiwa na wenzie wengi kina Mdungi Ussi, Jimmy Ringo, Jaha Ubwa , Mzee Mbaba, Alhalifa Misry...Hashim Bahruan , Saleh Master ..
Source : MzeeBarwani



N.B Ina onekana zama hizo watu walikuwa jasiri sana kwa kuandika na pia kusema hadharani bila woga. Zama zetu hizi ni kusifu tu kwa kiwango cha juu cha kustajabisha.
 
Wewe jidanganye,uhai wa mtu hauna mbadala,Samuya hawezi kwepa hili jambo,tutahakikisha anafikishwa ICC
NRNE vipi? 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa huu ushahidi uliopatikana amini maneno yangu.

Samia asipotolewa arrest warrant na ICC niite mbwa.
Daah kamanda Yale maagizo yako kwa jeshi daaah Mara chukueni ikulu ya Dar Mara chukueni chamwino Mara haya haraka sana dhibitini jengo la INEC hahahahahahahahahaha vipi NRNE?
 
Mzee Aman aliyepata kupelekwa gerezani akiwa na wenzie wengi kina Mdungi Ussi, Jimmy Ringo, Jaha Ubwa , Mzee Mbaba, Alhalifa Misry...Hashim Bahruan , Saleh Master ..
Source : MzeeBarwani

Samia Suluhu Hassan hataacha kuwadhulumu uhai watu maana historia inaelezea watu wa mfumo wa vikosi maalum vya Zanzibar toka enzi za Abeid Amani Karume 1964 - 1972 hamu yao ya damu za watu haina kipimo :

Samia naona anaiga mbinu ovu za Museveni, Abdul za Kainerugaba.

Na pia zile anazosimulia mzee Thani : Naingia Jela Mara ya Mwanzo

WaTanzania tusome sana jukwaa la Historia la JamiiForums kuna vitu vingi vitatufanya kuelewa nini cha kufanyia maamuzi sahihi, maana historia hujirudia :


Wasiojulikana yanaonekana kufanywa na watu wanaotoka upande wa pili wa nchi wa uongozi wa nchi, hal

Kanali Seif Bakari mkuu wa vikosi maalum (vyombo vya serikali) katika historia ya baada ya mapinduzi matukufu ukiisoma unaona kama yaliyotendeka yanajirudia : soma : source :
Mzee Aman Thani anaelezea yaliyomtokea baada ya Mapinduzi ya Zanzibar, mateso akiwa kifungoni baada ya kupitia Mahakama ya Mchongo yaani Kangaroo Court :

View: https://m.youtube.com/watch?v=xXlGpTGqDTM
Aman Thani Anakumbuka
· 1 Mwaka wa Mwanzo Jela
· 2 Kufungwa Miaka Kumi
· 3 Jela ya Langoni ·
4 Chakula na Magonjwa Langoni ·
5 Nimekamatwa Dar es Salaam maeneo ya Ilala...
6. Central polisi Dar es Salaam
7. Chai nzito tofauti na mahabusu wengine
8. Tumepelekwa Airwing Airport Dar es Salaam
9. Tunatiwa katika ndege ya jeshi hadi Zanzibar
10 . N.k n.k
 
Z
Wadanganyika tuungane kwa hili kwa sababu Tanganyika kwa sasa ni kama koloni la zanzibar,
Na ndio maana huyu mwanamke ametuua sana,
Na itaendelea kufanya hivyo kwa sababu wazanzibar hawajawahi kuwapenda wadanganyika daima.
Hivi itakuja kutokea Tanzania ikawa na Marais wote wa Tanganyika kama ilivyo sasa hivi wapigiwa mizinga wote katika nchi hii ni wa zanbzibari.
 
Mauaji na mateso ya Zanzibar ya sheikh Abeid Amani Karume 1964 - 1972 chini ya mkuu wa vikosi maalum Zanzibar Kanali Seif Bakari, sasa October 30 2025 kwenda mbele yanaletwa Tanzania bara katika utawala wa awamu hii ya Samia Suluhu Hassan na vikaragosi vyake vya vyombo vya dola.

Hakuna atakayesalimika iwe wa ndani ya CCM kama kina Humphrey Polepole, vigogo wa serikali na wananchi wa kawaida .

Tusipofanya jambo kwa haraka haya hapa chini yatatukumba :

KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA - 2


Mzee Aman Thani anaelezea yaliyomtokea baada ya Mapinduzi ya Zanzibar hakika unaposikiliza masaibu waliyopitia mwili nywele zinasisimka kwa aina ya ukatili binadamu anaweza kuufanya kwa kutumwa na watawala kuwatia adabu wapinzani au watu wenye mawazo tofauti na utawala ..
1. Kosa tumetia chokochoko kwa kutaka kupindua serikali ya Abeid Karume
2. Tumelazimishwa kutia alama ya dole buku la mashtaka
3. Mkuu wa jeshi atuhukumu miaka 10 jela
4. Tumeshonana kama samaki wa dagaa sardine
5. Ndo ya haja kubwa ndoo ya maji
6. N.k

Source : Bin Seif
 
Back
Top Bottom