GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least.

Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee.

Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato.

View attachment 3496787

Nategemea ICC itatoa arrest warrant dhidi yake.

Make her life a living hell.

Toeni arrest warrant haraka sana ili aishie kuwa anaenda Somalia na Burundi huko kwa rafiki zake.

Na ole wake aje kwa Trump.
Iwapo hana hatia,ataachiwa huru kama uhuru na Ruto,yeye atakuwa sii wakwanza na uzuri ni njia ya kujiosha na yale anayosingiziwa nayo pamoja na kujifunza jinsi mahakama hii ilivyo huru na yenye kutoa HAKI.
 
Hapo naliona wazi pengo la Tundu Lissu lait angekuwa uraiani ungekuta jambo kubwa lingeshafanyika ama hapa nchini au huko icc kwa sa100 kulipia uovu wake!
 
Rais Yoweri Kaguta Museveni alichukua nafasi ya photo opportunity kumuuliza maswali mengi Dr. Emmanuel Nchimbi wakati wakiwa ktk hatua ya kupiga picha ya ukumbusho na kumuuliza maswali mengi binafsi. Kama inavyosikika ktk clip hii kuanzia dakika ya 10 ktk hii clipu

21 December 2025
Kampala, Uganda

DR. Emmanuel John Nchimbi akiendelea kumuakilisha Samia nje ya nchi na katika video hii Museveni alimuuliza maswali kibao Nchimbi..

View: https://m.youtube.com/watch?v=E6d5RpULJxs

Rwanda & DR. Congo Trade Counter Accusation at Kampala Summit as M23 Resumes Fighting
View attachment 3519446
 
Back
Top Bottom